Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,161
Naona mmefurahi leo😂😂😂Ni muda wa kupata raha jameni ni kufurahi tu.[emoji16][emoji16]View attachment 2152166
Naona mmefurahi leo😂😂😂Ni muda wa kupata raha jameni ni kufurahi tu.[emoji16][emoji16]View attachment 2152166
Naona katufunga kweli 😂😂Tungoje na leo awafunge midomo wabaya wake.
Hakika furaha si kifaniNi muda wa kupata raha jameni ni kufurahi tu.[emoji16][emoji16]View attachment 2152166
Mtaaibika kweli😂😂Man tutolewe 2..tutapata aibu huko mbele
Na mmembwela kweli😂Hawa ATM weupe kinoma noma labda tumbwele wenyewe tu.
Mwenye utukufu wake cr7 aondoke tena????Rebuilding ni muhimu sana hasa tukizingatia wachezaji wasiopungua 7 watatakiwa kuondoka.
1. Pogba
2. Cavan
3. Mata
4. Jones
5. Lindgard
6. Matic
7. Bailly
8. Ronaldo
9. Rashford
Halafu Maguire unamuachia nani?Rebuilding ni muhimu sana hasa tukizingatia wachezaji wasiopungua 7 watatakiwa kuondoka.
1. Pogba
2. Cavan
3. Mata
4. Jones
5. Lindgard
6. Matic
7. Bailly
8. Ronaldo
9. Rashford
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ONE TWO ONE TWO MIC TEST View attachment 2152275
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie jamaa kat ya watu wanao Tia huruma n nyinyi
Timu inawapa furaha siku moja halafu inawapa mateso wiki tatu
Kwa Hali hii afya mtaitoa wapi ya kugegeda wake zenu jaman
Na waswas hata wake zenu wanasaidiwa na mashabiki wa Chelsea na Liverpool maana hao pekee ndio wananguvu za kiume msimu mzma wa ligi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utukufu gani[emoji23]