Huyo akicheza tunauhakika wa kufungwa goli.Page ya Man U insta mashabiki wamecharuka kutoa povu baada ya kikosi kutoka kisa Maguire kaanzaView attachment 2152178
Tungoje na leo awafunge midomo wabaya wake.Mechi kama hizi ndiyo Cr7 anajitwaliaga utukufu wake.
Hiyo ni π mkuu 3.14 (22/7).Tungoje na leo awafunge midomo wabaya wake.
Au labda kuna issue ya kimkataba inayomlinda Maguire kucheza kila mechi? Haiingii akilini kabisa Maguire kuanza kila mechi licha ya kutuharibia karibia 70% ya mechi zetu msimu huu.Kulikua na haja gani ya kumuweka Maguire wakati tupo tunahitaji kusonga?
Kocha nae fala hana ukali wowote.
Baily na lindelof watu bana.
Kumbe mpo?Kambaa![]()
Kumbe mpo?