Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
Nenda kapige ww hizo shuti kama ni rahisi kihivyo.
Kuna wakati inahitajika kupiga pasi nyepesi lkn anataka kupiga pasi ngumu bila sababu yoyote, me namwaminia ila cku za karibuni amedrop sn au ndiyo kusema Ronaldo ndiyo anayesababisha ashuke kiwango km alivyosemaga mamluki flani humu.
