Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kuna muandishi anadai ya kwamba bajeti ya manchester itakuwa ni paundi millioni ikiwa tutafuzu UEFA na paundi million 50 ikiwa tutashindwa kufuzu. Ongezeko la fedha itategemewa zaidi na mauzo ya wachezaji. Kiupande wangu bado nawatafuta wachezaji wa kuwauza kwa fedha nzuri.
Atakuwa anaongelea bajeti ya man u au ya Arsenal? Kuhusu pesa achana na man u kabisa, ina matokeo mabaya uwanjani ila kifedha na biashara usiwaguse kabisa.. hizo Paundi milioni 50 labda bajeti ya spurs.. Pogba salary yake tu £350,000 kwa week, akiondoka unajua ni mshahara wa watu wangapi wapya tukileta? Cavani £250,000 unajua ni pesa kiasi gani hiyo?
 
Kwahiyo sisi ndo mlitaka tumfunge city ili Liverpool akae pale juu subirini wana liver mtakutana nae vita yenu msituhusishe kabisa
ajabu kufungwa kwetu mashabiki wa Liverpool ndio imewauma zaidi halafu mashabiki wa Man United tuko na mafuraha kama yote.
Kweli nimeamini maneno ya allypipi kua hii ndio timu ya furaha dunia nzima, yaani jana mashabiki wa Man United kila kona walikua wanaoimbea Man City ishinde na kweli bana dua zetu zimekubaliwa.
Liverpool pambaneni wenyewe acheni kutegemea mbeleko za Manchester United kuku nyieeee.
 
mishahara ya goalkeepers, yawezekana data hizi si rasmi hivyo naruhusu masahihisho kwa yeyote atakayekuwa na taarifa sahihi.

Allison becker wa liverpool analipwa paundi 150, 000 kwa wiki.

Ederson wa man city analipwa paundi 65000 kwa wiki.

Robert sanchez wa brighton analipwa paundi 20,000 kwa wiki.

Edouard mendy wa Chelsea analipwa paundi 70000 kwa wiki.

ukijumlisha mishahara ya goalkeepers wote wanne unapata paundi 305,000.

Fanya wote hao wanne kwa pamoja wanakusanya paundi laki 350,000 kwa wiki.

Kwa wasiofahamu huo ndio mshahara anaolipwa david de gea kwa wiki.

mpira wa kileo haumuhitaji tena kipa aina ya de gea ambaye uwezo wake pekee alionao ni kuzuia mashuti yanayolengwa golini kwake huku akiwa na madhaifu mengi, kwa mshahara anaolipwa david alipaswa kutokuwa na mlango wa udhaifu.

  1. David ana mwaka wa 10 tokea asajiliwe manchester united lakini bado ameendeleza tabia ya uoga wa kucheza krosi, tunafungwa goli nyingi za krosi kwa sababu yake.
  2. Uwezo wake wa kutawala box bado ni mdogo na haonyeshi dalili ya kubadilika
  3. Uwezo wake wa kucheza bado ni mdogo, anapiga pasi ovyo.
  4. David ni shots stopper, dunia ya leo inamuhitaji sweeper si ajabu ndio maana guardiola alimuondoa joe hart na hata arsenal wamemsajili ramsdale, lengo ni kujenga mwingi wa timu kiuchezaji kuanzia nyuma.
  5. David hawezi kupiga pass zinazoweza kuvuka line moja au mbili ya timu pinzani kwa usahihi mkubwa kama afanyavyo ederson. Mechi ya jana ederson alipiga pasi nyingi sana kama hizo mpaka wivu ukanijaa nafsini.
  6. Huwezi kucheza higher line ikiwa kipa wako ni david de gea na beki wako ni maguire.
  7. Uwezo wake wa kuokoa mashuti umerudi tena lakini bado anaendelea kukaa benchi spain, tujiulize ni kuwa sababu gani.
Anacholipwa david de gea hakiendani na anachotupa, ndugu zangu huyu david de gea ana tofauti gani na simon mignolet?

Overhaul inapaswa ianzie kwake kama itawezekana cause mkataba wake unaisha 2023, ni ngumu sana kumuonyesha mlango wa kutokea david de gea lakini klabu inapaswa impunguzie mshahara kama wataona haja ya kumpa mkataba mpya, kumuongezea mkataba na mshahara ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa.

Naomba munitajie team kubwa yenye goalkeeper mwenye madhaifu kama hayo aliyonayo david de gea.

Chaguo langu mimi ni huyu sanchez wa brighton, navutiwa sana na uchezaji wake.
View attachment 2141677
Naomba uondelezee huu uchambuzi umeanza kwa kipa twende kwa backline yetu....kuna vitu tutapata hapa kulikon kubweka bila sababu yyote
 
ajabu kufungwa kwetu mashabiki wa Liverpool ndio imewauma zaidi halafu mashabiki wa Man United tuko na mafuraha kama yote.
Kweli nimeamini maneno ya allypipi kua hii ndio timu ya furaha dunia nzima, yaani jana mashabiki wa Man United kila kona walikua wanaoimbea Man City ishinde na kweli bana dua zetu zimekubaliwa.
Liverpool pambaneni wenyewe acheni kutegemea mbeleko za Manchester United kuku nyieeee.
Sisi tunajua hali halisi ya team ndo maana tuna furaha sasa liver wanataka washinde hii ligi ili tulingane wewe ulisikia wapi?
 
IMG_20220307_201156.jpg
 
kuna muandishi anadai ya kwamba bajeti ya manchester itakuwa ni paundi millioni ikiwa tutafuzu UEFA na paundi million 50 ikiwa tutashindwa kufuzu. Ongezeko la fedha itategemewa zaidi na mauzo ya wachezaji. Kiupande wangu bado nawatafuta wachezaji wa kuwauza kwa fedha nzuri.
Mbaya zaid wengi wenye nafuu wanakuwa free agents.
 
mishahara ya goalkeepers, yawezekana data hizi si rasmi hivyo naruhusu masahihisho kwa yeyote atakayekuwa na taarifa sahihi.

Allison becker wa liverpool analipwa paundi 150, 000 kwa wiki.

Ederson wa man city analipwa paundi 65000 kwa wiki.

Robert sanchez wa brighton analipwa paundi 20,000 kwa wiki.

Edouard mendy wa Chelsea analipwa paundi 70000 kwa wiki.

ukijumlisha mishahara ya goalkeepers wote wanne unapata paundi 305,000.

Fanya wote hao wanne kwa pamoja wanakusanya paundi laki 350,000 kwa wiki.

Kwa wasiofahamu huo ndio mshahara anaolipwa david de gea kwa wiki.

mpira wa kileo haumuhitaji tena kipa aina ya de gea ambaye uwezo wake pekee alionao ni kuzuia mashuti yanayolengwa golini kwake huku akiwa na madhaifu mengi, kwa mshahara anaolipwa david alipaswa kutokuwa na mlango wa udhaifu.

  1. David ana mwaka wa 10 tokea asajiliwe manchester united lakini bado ameendeleza tabia ya uoga wa kucheza krosi, tunafungwa goli nyingi za krosi kwa sababu yake.
  2. Uwezo wake wa kutawala box bado ni mdogo na haonyeshi dalili ya kubadilika
  3. Uwezo wake wa kucheza bado ni mdogo, anapiga pasi ovyo.
  4. David ni shots stopper, dunia ya leo inamuhitaji sweeper si ajabu ndio maana guardiola alimuondoa joe hart na hata arsenal wamemsajili ramsdale, lengo ni kujenga mwingi wa timu kiuchezaji kuanzia nyuma.
  5. David hawezi kupiga pass zinazoweza kuvuka line moja au mbili ya timu pinzani kwa usahihi mkubwa kama afanyavyo ederson. Mechi ya jana ederson alipiga pasi nyingi sana kama hizo mpaka wivu ukanijaa nafsini.
  6. Huwezi kucheza higher line ikiwa kipa wako ni david de gea na beki wako ni maguire.
  7. Uwezo wake wa kuokoa mashuti umerudi tena lakini bado anaendelea kukaa benchi spain, tujiulize ni kuwa sababu gani.
Anacholipwa david de gea hakiendani na anachotupa, ndugu zangu huyu david de gea ana tofauti gani na simon mignolet?

Overhaul inapaswa ianzie kwake kama itawezekana cause mkataba wake unaisha 2023, ni ngumu sana kumuonyesha mlango wa kutokea david de gea lakini klabu inapaswa impunguzie mshahara kama wataona haja ya kumpa mkataba mpya, kumuongezea mkataba na mshahara ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa.

Naomba munitajie team kubwa yenye goalkeeper mwenye madhaifu kama hayo aliyonayo david de gea.

Chaguo langu mimi ni huyu sanchez wa brighton, navutiwa sana na uchezaji wake.
View attachment 2141677
Sidhani kama assesment yako iko sawa,weakness ya De Gea sio kubwa kama ulivyoandika na unachomlaumu
Manchester United wana matatizo 99 na De Gea ni mmojawapo so sidhani kama ukisolve tatizo moja utakuwa na nafuu

1.Manchester United haijawahi kuwa na kocha anayecheza mfumo wa kucheza kuanzia nyuma ukilinganisha na makocha kama Pep,,Tuchel,Klopp au Arteta kama tungekuwa nae huenda angeshamuuza/au De Gea ange-improve lakini kuanzia SAF,Moyes,LVG,Jose,OGS hakuna ambaye aliona hiyo weakness kwa kuwa formation zao hazikuhitaji kucheza kuanzia nyuma.

2.Defence nzima ya United ni mbovu kucheza kuanzia nyuma except Lindelof the rest wote ni wabovu ,tofauti na wenzetu Matip & Van Dijk,Dias & Laporte,White & Gabriel,Rudiger/Silva/Christensen ,wenzetu baada ya kujua mfumo wao unahitaji wachezaji fulani basi wamekuwa wakinunua wachezaji wanofit kwenye mifumo yao tofauti na sisi ndio maana wachezaji wengi wanaflop United tofauti na wenzetu.

3.Katika hao makipa uliomlinganisha nao De Gea ndio amepigiwa mashuti mengi kuliko wote,sababu timu yetu haichezi vizuri kuanzia kwenye midfield na defence yetu iko very disorganized.Timu yeyote inayocheza na United ni rahisi sana kufika golini.Magoli mengi ambayo United amefungwa ni uzembe wa timu nzima na individual mistake za viungo Bruno,Fred,McTominay,Pogba kwenye defence mistake nyingi ni Shaw & Maguire
 
United inahitaji rebuild, kwangu ni ngumu kuamini sajili za wachezaji wawili mpaka watatu next transfer window zitasaidia kuirejesha United kuwania makombe. We need a strong project and a strong manager. United inamalizwa na fan base yake yenyewe pamoja na legends. Inatakiwa United wakubali wakati wa zamani ulishapita na waachane na mambo ya DNA hata ile 'YOUTH, COURAGE, SUCCESS' inafeli.

I predict at least 2026/27 United will win their first trophy after 10 years.
Huo msimu wa 2026/27 hiyo rebuild ndo itakuwa imeshafanyika?
 
Back
Top Bottom