FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,924
- 11,305
Anashikwa makalioHuyu spurs ndio mnaenda kukutana nae wkend
Baada ya kitu kizito kutoka kwa Cholo
Dunia nzima ina furaha nyumbu akiwa anashikishwa adabu

Labda dunia ya mashogamagwaya na maktomy wanacheza kwenye kosi la dunia![]()
Deagea kama manura tuDe Gea?????? Naomba niamini haukua serious sana kwenye kuandika hii
Kutokana na hali ngumu ya kifedha walionao FC Barcelona kiupande wao wameamua kuelekeza nguvu zao kwa kusajili free agents.Mbaya zaid wengi wenye nafuu wanakuwa free agents.
Munasingizia wachezaji bure.Kutokana na hali ngumu ya kifedha walionao FC Barcelona kiupande wao wameamua kuelekeza nguvu zao kwa kusajili free agents.
Kama watafanikiwa kuwasajili christensen, azpiliqueta na kessie wa Ac Milan watakuwa na dirisha bora sana la usajili.
Ukija kwetu.
Ukimuondoa paul pogba unadhani ni mchezaji gani mwengine anayemaliza mkataba wake unadhani anaweza kutusaidia kama atabaki klabuni?
Tuna wachezaji takribani 10 au zaidi waliobakisha mkataba wa mwaka mmoja hadi miezi minne, ni muda muafaka kwa klabu kufanya uchunguzi wa kitaalamu juuu ya mchezaji gani anapaswa kupewa mkataba mpya au mchezaji gani hapaswi kuendelea kuwepo.
Huu si wakati wa kuziruhusu hisia zitawale kwenye kufanya maamuzi.
Akachukue wachezaji wa academy mbona kina TAA waliwezaKutokana na hali ngumu ya kifedha walionao FC Barcelona kiupande wao wameamua kuelekeza nguvu zao kwa kusajili free agents.
Kama watafanikiwa kuwasajili christensen, azpiliqueta na kessie wa Ac Milan watakuwa na dirisha bora sana la usajili.
Ukija kwetu.
Ukimuondoa paul pogba unadhani ni mchezaji gani mwengine anayemaliza mkataba wake unadhani anaweza kutusaidia kama atabaki klabuni?
Tuna wachezaji takribani 10 au zaidi waliobakisha mkataba wa mwaka mmoja hadi miezi minne, ni muda muafaka kwa klabu kufanya uchunguzi wa kitaalamu juuu ya mchezaji gani anapaswa kupewa mkataba mpya au mchezaji gani hapaswi kuendelea kuwepo.
Huu si wakati wa kuziruhusu hisia zitawale kwenye kufanya maamuzi.
.

tunachokijadili sisi na unachojadili wewe ni pande mbili tofauti.Munasingizia wachezaji bure.
Mkubali tu kocha hana technique za kufanya timu i win,ku defense na kukaba.
Wachezaji ni walewale walio toka kushika nafasi ya pili kwenye msimamo plus tuzo za KUTOSHA za mwisho wa mwezi, Kwanini sa ivi wanaonekana ma flop??
Mkuu united hawaeleweki wamekumbwa na nini maana skysport niliona wanasema kuwa "INASIKITISHA ATA WACHEZAJI WANAOIBUKA KUTOKA ACADEMY NAO BAADA YA MUDA WANAKUWA MAFLOP" ...ukiangalia ni kweli refer dogo wa united yule Daniel james waliyempeleka leeds alivyoingia first timu akawa fire kila muda ulivyokuwa ukienda akawa anaflop...sijui kuna shida gani pale trafford!Munasingizia wachezaji bure.
Mkubali tu kocha hana technique za kufanya timu i win,ku defense na kukaba.
Wachezaji ni walewale walio toka kushika nafasi ya pili kwenye msimamo plus tuzo za KUTOSHA za mwisho wa mwezi, Kwanini sa ivi wanaonekana ma flop??
Jamaa sijui hata anaongelea nntunachokijadili sisi na unachojadili wewe ni pande mbili tofauti.

Sijui mumekumbwa na nini majirani yani wachezaji wenu wamekuwa kama walevi hawana hata stamina on the pitch!...mimi nilishangaa sana hii.Kutokana na hali ngumu ya kifedha walionao FC Barcelona kiupande wao wameamua kuelekeza nguvu zao kwa kusajili free agents.
Kama watafanikiwa kuwasajili christensen, azpiliqueta na kessie wa Ac Milan watakuwa na dirisha bora sana la usajili.
Ukija kwetu.
Ukimuondoa paul pogba unadhani ni mchezaji gani mwengine anayemaliza mkataba wake unadhani anaweza kutusaidia kama atabaki klabuni?
Tuna wachezaji takribani 10 au zaidi waliobakisha mkataba wa mwaka mmoja hadi miezi minne, ni muda muafaka kwa klabu kufanya uchunguzi wa kitaalamu juuu ya mchezaji gani anapaswa kupewa mkataba mpya au mchezaji gani hapaswi kuendelea kuwepo.
Huu si wakati wa kuziruhusu hisia zitawale kwenye kufanya maamuzi.
Zigah Huyu Huyu Kwenye Pasi 4 Anazopiga Pasi 3 Zinapotea Kwa AduiIla Elanga Hamfikii Christian zigah wa biashara
Aende tu akiongozana naRonaldo to psg loading ..........!!!