Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Chelsea FC iko sayari nyingine kabisa kwa ubora bila unafki kwa 80% kwa timu zote za UK.
Yani majeruhi wa5(Ng'olo, Chalobah, Wenner, Covasic na Chilwel) + wachezaji 9 waliokuwa na COVID-19 bila ya msamaha wowote wa kughairi mechi kama ilivyokuwa kwa Tottenham, Man Utd na Liverpool lakini iko nafasi ya 3 kimsimamo.
Sasa Man Utd kapatwa na majeruhi wa3 tu ndivyo kwisha kabisa habari yake
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app