Beki la dunia kutoka kwenye kosi la dunia ambalo likicheza majirani tuna furaha.
Watakutana pipa na mfunikoHuyu spurs ndio mnaenda kukutana nae wkend
Baada ya kitu kizito kutoka kwa Cholo
Dunia nzima ina furaha nyumbu akiwa anashikishwa adabu
Ole aliiacha timu ikiwa kwenye hali gani?Munasingizia wachezaji bure.
Mkubali tu kocha hana technique za kufanya timu i win,ku defense na kukaba.
Wachezaji ni walewale walio toka kushika nafasi ya pili kwenye msimamo plus tuzo za KUTOSHA za mwisho wa mwezi, Kwanini sa ivi wanaonekana ma flop??
Hivi kweli ka aseno nikatupita kweli..kakiwa na chupi mkononi?Hii timu ni mwendo wa kupost thrown back
History FC
Nyie mnaraha Sana subirini shetani atarudiWatakutana pipa na mfuniko
Bora Ole kuliko huyu motivational speaker.Ole aliiacha timu ikiwa kwenye hali gani?
Unaongea ujinga ujinga tu.
lakini ange endelea ange onesha changes.Table position inategemea factor nyingi. Ubovu wa opponent wako unaweza fanya ukabaki nafasi ya juu japokuwa na wewe tia maji tia maji.Munasingizia wachezaji bure.
Mkubali tu kocha hana technique za kufanya timu i win,ku defense na kukaba.
Wachezaji ni walewale walio toka kushika nafasi ya pili kwenye msimamo plus tuzo za KUTOSHA za mwisho wa mwezi, Kwanini sa ivi wanaonekana ma flop??



Wachezaji wenye character kubwa kwenye dressing room wana influence sana kwa team... Hususani kwa young players, wengi wanaathirika either +vely au -vely sababu ya hao wachezaji wakubwa.Mkuu united hawaeleweki wamekumbwa na nini maana skysport niliona wanasema kuwa "INASIKITISHA ATA WACHEZAJI WANAOIBUKA KUTOKA ACADEMY NAO BAADA YA MUDA WANAKUWA MAFLOP" ...ukiangalia ni kweli refer dogo wa united yule Daniel james waliyempeleka leeds alivyoingia first timu akawa fire kila muda ulivyokuwa ukienda akawa anaflop...sijui kuna shida gani pale trafford!
MIMI SIO FANS WA UNITED LAKINI NAWEZA SEMA...SHIDA KWA MAN-U SIO KOCHA NDUGU NI WACHEZAJI WENYEWE YANI NUSU YA WACHEZAJI WA FIRST TEAM HAWASTAHILI KUWEPO HAPA EITHER VIWANGO VIMESHUKA AMA HAWAENDANI NA HADHI YA IYO CLUB...Kama ni ishu kocha babu RR akiondoka atakuwa ni kocha watano kushindwa kazi hapo united nyuma ya moyez, Van Gal, Mou, na Ole. Ila mie niliposhtuka mapema kuwa united ni janga si kipindi moyez alivyoboronga bali ni kipindi ambacho KOCHA MBOBEZI NA MKONGWE WA MIFUMO MUHOLANZI LUIS VAN GAL ALIVYOISHINDWA...Basi pale nilijua hakuna kocha atakayeletwa pale united atatoboa!...kinachoendelea ni mwendelezo tu.
Kimtazamo navyoona kama kweli kuna wachezaji walio wengi wamemaliza mikataba yao...wangeachwa tu waende alafu new project iandaliwe na sajili mpya zije kufanyika based na kocha mpya ajaye anavyohitaji pia apewe miaka 2-3 ya kusuka timu, ndo warudi tena katika competitive scheme...katika hiyo miaka 2-3 atakayepewa kocha mpya asiwekewe condition ya "LAZIMA ABEBE VIKOMBE" badala yake ambiwe tu atatakiwa kuingia big 4 bhasiii...japo ata hiyo yenyewe inaweza ikawa ngumu kwake kwa mwaka wake wa kwanza wa kazi maana uwepo wa makocha wakubwa pale EPL kama Pep, Klop, Tuchel na Conte...kuingia big4 inaweza isiwe rahisi in his first year of ricruitment!
Sikubali wala sikatai kwa kauli yako.Bora Ole kuliko huyu motivational speaker.
Ole alikuwa na pressure tulakini ange endelea ange onesha changes.
ACHA KUJIFANYA HAUONI.
Kabla ya cr7 tulikuwa hovyo kwenye forward vikina rashidi vilikuwa vinaruka ruka tu mbele, baada ya cr7 kuja magoli yakaanza kupatikana japo kama kawaida lazima tu concede goal, baadae kdg Ronaldo naye kawa kama Martial mashabiki uchwara wakaanza kusema bora ElangaKuna baadhi ya fans wa united walianza mdhihaki ronaldo kuwa ndio tatizo pale united since his arrival after poor match results ila wanashindwa kuona hali ni mbaya kwa ile timu nzima...mungu kajaribu kuwaonyesha kuwa shida sio ronaldo juzi hakuwepo na mumefanyiwa dhahama na city boys!
View attachment 2143141
Na za chini chini kutoka kwa watu wa karib wa cr7 inasemekana alikuwa hana injury yule jamaa na alishajua nini kinaenda tokea kule etihad!!!...pia hafurahishwi na usemi kwa baadhi ya UTD FANS Kuwa yeye ndo tatizo kikosini.
View attachment 2143144














Unachonena hapo ni kweli kwangu mimi pia Bwana maguire hastahili kuwa team captain...simply THAT ROLE IS TOO BIGGER FOR HIM, Kwanza captain anatakiwa either awe mtu anayejuwa misingi/falsafa ya club na aliyopo klabuni kwa miaka mingi au mwenye uwezo wa kuhandle pressure ya timu kwenye locker rooms na mwenye convicing power/ushawishi ndani ya timu...KWA SIFA HIZO NDUGU MAGWAYA HANA ATA MOJA HAPO SASA SIJUI WAMEWAZA NIN KUMPA YEYE?...Wachezaji wenye character kubwa kwenye dressing room wana influence sana kwa team... Hususani kwa young players, wengi wanaathirika either +vely au -vely sababu ya hao wachezaji wakubwa.
Just imagine wewe ni mchezaj unayechipukia kwenye team kama United af kulia kwako amekaa mfia team kama Giggs, huku Captain wako ni Roy Keane Mzee wa no nonsense, una Ferdinand, una scholes, una Ji Sung Park (mtu anakaba as if ana mapafu matatu), kwanini uwe na motisha ya kujituma?
Ila sasa no offense, lakini angalia tu aina ya mifano pale United... Nani anayejituma ili aonekane mfano?
No player is bigger than a club, especially club yenye caliber ya Man United.
Ila tuwe honest tu, kama kiongozi wako ni Harry Maguire, Captain wa club yenye trophy nying Uingereza, really??
Ana standard za kuchezea United kweli? Let alone kuchezea United, yaani ndo kapewa captaincy?? Hiyo inaonesha jinsi gani standard za United zimedrop aisee.
Kwa bahati wengine tumeanza kuiona United kwa miaka mingi kidogo, inaumiza sana how the standards have fallen
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine mwamba katoka Leicester City, kacheza United miezi minne tu kalamba shavu la u-captain. Kama sio captain wa mchongo huyo ni nini?Unachonena hapo ni kweli kwangu mimi pia Bwana maguire hastahili kuwa team captain...simply THAT ROLE IS TOO BIGGER FOR HIM, Kwanza captain anatakiwa either awe mtu anayejuwa misingi/falsafa ya club na aliyopo klabuni kwa miaka mingi au mwenye uwezo wa kuhandle pressure ya timu kwenye locker rooms na mwenye convicing power/ushawishi ndani ya timu...KWA SIFA HIZO NDUGU MAGWAYA HANA ATA MOJA HAPO SASA SIJUI WAMEWAZA NIN KUMPA YEYE?...
Bora ata wangemkabidhi iyo role cr7...ambaye anafahamu falsafa ya united kwa kuwa alishawahi kukipiga OT na pia ana convicing power tumeliona hilo ata kwenye timu yake ya taifa kule ureno.

Walio wengi hawaelew lakini pale kuna shida kubwa tu kuliko wanavyoona wao kwamba cr7 ndo tatizo hivyo bora Elanga...imefikia wakati fans wanatamani members wa board wote wajiuzulu kufuatia mtiririko mbaya wa matokeo...Kabla ya cr7 tulikuwa hovyo kwenye forward vikina rashidi vilikuwa vinaruka ruka tu mbele, baada ya cr7 kuja magoli yakaanza kupatikana japo kama kawaida lazima tu concede goal, baadae kdg Ronaldo naye kawa kama Martial mashabiki uchwara wakaanza kusema bora Elanga
Hawa watu walioanza kuangalia mpira 2000s wana tabu kweli kweli![]()
Hili jambo limeonyesha namna gani uongozi wa utd wa sasa una incompitency!...so sad.Imagine mwamba katoka Leicester City, kacheza United miezi minne tu kalamba shavu la u-captain. Kama sio captain wa mchongo huyo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una mahaba na Ronaldo,Ata avatar Yako inaonesha wazi.Kabla ya cr7 tulikuwa hovyo kwenye forward vikina rashidi vilikuwa vinaruka ruka tu mbele, baada ya cr7 kuja magoli yakaanza kupatikana japo kama kawaida lazima tu concede goal, baadae kdg Ronaldo naye kawa kama Martial mashabiki uchwara wakaanza kusema bora Elanga
Hawa watu walioanza kuangalia mpira 2000s wana tabu kweli kweli![]()
Yani uwe ovyooo ufike fainali ya Europe, ufike nusu fainal kila kombe,Umalize nafasi ya pili.Kabla ya cr7 tulikuwa hovyo kwenye forward vikina rashidi vilikuwa vinaruka ruka tu mbele, baada ya cr7 kuja magoli yakaanza kupatikana japo kama kawaida lazima tu concede goal, baadae kdg Ronaldo naye kawa kama Martial mashabiki uchwara wakaanza kusema bora Elanga
Hawa watu walioanza kuangalia mpira 2000s wana tabu kweli kweli![]()
Kama shida wachezaji,Kocha atumie wa wachache anao waona wanafaa wengine akachukue wa acamedy kwani kina Rashiford walitokea wapi? Waingizwe kina Rashiford wengine kutokea waliko toka.Wachezaji wenye character kubwa kwenye dressing room wana influence sana kwa team... Hususani kwa young players, wengi wanaathirika either +vely au -vely sababu ya hao wachezaji wakubwa.
Just imagine wewe ni mchezaj unayechipukia kwenye team kama United af kulia kwako amekaa mfia team kama Giggs, huku Captain wako ni Roy Keane Mzee wa no nonsense, una Ferdinand, una scholes, una Ji Sung Park (mtu anakaba as if ana mapafu matatu), kwanini usiwe na motisha ya kujituma?
Ila sasa no offense, lakini angalia tu aina ya mifano pale United... Nani anayejituma ili aonekane mfano?
No player is bigger than a club, especially club yenye caliber ya Man United.
Ila tuwe honest tu, kama kiongozi wako ni Harry Maguire, Captain wa club yenye trophy nying Uingereza, really??
Ana standard za kuchezea United kweli? Let alone kuchezea United, yaani ndo kapewa captaincy?? Hiyo inaonesha jinsi gani standard za United zimedrop aisee.
Kwa bahati wengine tumeanza kuiona United kwa miaka mingi kidogo, inaumiza sana how the standards have fallen
Sent using Jamii Forums mobile app