[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nadhani Klop na TT walikuwa wanamchora, aliwafundisha ukocha wa enzi za stone age
England product. Overhyped, overpriced for nothing.Magwaya na Mctomy ni uchafu.
Hapana Klopp na TuchelLet me ask here huyu Ralf ndiye kamfundisha Pep and Tuchel?
Noted [emoji736]Hapana Klopp na Tuchel
Hihihihi hahahahaha heheheheheheYaani hapo mabeki wa man u wanaanguka kama wale makerubi wa mfame Zumaridi
Inaonekana Klopp na Tuchel walienda kuongeza ujuzi tu , ila kiuhalisia mwalimu wao alikuwa ni unga tu.Noted [emoji736]
Yeah, ila Pogba, McTomminay na Maguire wanapaswa kutolewa ingiza watu serious mijitu iko slow inakabia mikono.Kuna watu akili hazimo.....ukiacha makosa mawili yaliyozaa goals za city hii man u imecheza vizuri sana tena Sana....
Tunachotaka afungwe tu acheze vizuri au vibaya haituhusu ili mradi msipate pointKuna watu akili hazimo.....ukiacha makosa mawili yaliyozaa goals za city hii man u imecheza vizuri sana tena Sana....
Nalichukia hatari.Tatizo la Maguire ni kuwa na kichwa kikubwa kama Transfoma, kocha akimpa maelekezo liubongo lake kwa sababu ni likubwa linachukua muda kutafsiri maelekezo. Anashindwa kwenda sawa na kocha.