Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

baada ya mechi za ubwete ubwete na mnashindwa kushinda ,kuna fixture ipo mbele hapo, nakumbuka ndio ilimfukuza kazi ole,

round ya 2 hii fixture itawakuta baada ya valentine
1644618778516.png
 
Ndio maana timu yangu Chelsea
Haipendi kusajili wachezaji mabishoo, Huu utaratibu wao nimeupenda sana
Ronaldo si mchezaji bishoo ila umri umekwisha mtupa mkono, 37 now unadhani atafanya nini la maana uwanjani....wamuuze tu.
 
Hii timu inatia huruma sana.

The way inavyocheza ni kama vile haina kocha.

Mabeki na viungo, viungo na mafowadi hawana muunganiko wowote ule.

Bado enough wachezaji hawako committed,Wengi wao wanawaza salary tu.
 
Sijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?

Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.

Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.

2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.

3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.

4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.

5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.

6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.


Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???


Welcome the GOAT.
Kwa namna Ronaldo anavyoua build up na chances kadhaa nachelea kusema usajili wake utanisupprise sana kama atafanya maajabu yoyote.The best alimuona kama mwarobaini wa matatizo yetu lakini kwa sasa hoja yangu ya 5 na 6 bila shaka inaanza kuonyesha dhahiri
 
By the way nimefurahishwa sana na taarifa kuwa Ralf anavutiwa zaidi na Patrick Schick.

Man United inamhitaji zaid Patrick Schick kuliko Halland kwanza anapatikana kwa bei poa tu lakini ana link up play nzuri kuliko Halland, ni long range shooter mzuri, anatumia miguu yote japo anapenda kutokea kushoto.
 
m
Jitu linalipwa paundi 530k kwa wiki halafu hawezi hata kukaa na mpira angalau kwa dk 1 bhana!

Timu gani itakubali kumlipa mchezaji pesa hiyo alafu akashindwa kupata goli km mechi 6 mfululizo.

Hapo kwa Ronaldo mmekiingia kwa kweli! Biashara za kukurupuka mwisho wake ndio kama hivyo, huna pa kumtupa.
Kinachobaki ni kufukuzisha makocha tu.
mchezaji akae na mpira dakika nzima😂

ila ronaldo ni mzigo kwa ujumla
 
Nyie Nyumbu njooni muangalie wanaume tunamkaza Norwich huku, shenzi kabisa.

3 goals & counting
 
Jitu linalipwa paundi 530k kwa wiki halafu hawezi hata kukaa na mpira angalau kwa dk 1 bhana!

Timu gani itakubali kumlipa mchezaji pesa hiyo alafu akashindwa kupata goli km mechi 6 mfululizo.

Hapo kwa Ronaldo mmekiingia kwa kweli! Biashara za kukurupuka mwisho wake ndio kama hivyo, huna pa kumtupa.
Kinachobaki ni kufukuzisha makocha tu.
Mchezaji anaweza kukaa na mpira dakika moja akiwa nje ya uwanja tu.
 
Back
Top Bottom