OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Huyu si ni magwaya huyu?
Huyu si ni magwaya huyu?
Wamefloap lakini wanaleta makombe makubwa makubwa.Mkuu kuna watu ni fans wa team za mpira. Na kuna wengine ni fans wa mpira kwa ujumla.
. Hawa fans wa mpira kwa ujumla huwa wanaweza kuangalia mpira in 3 dimensions wakaelewa kosa lipo wapi.
Ila hao fans wa team wao ni rahisi tu kuona mchezaji fulani hakafunga basi waanze lawama.
Nilikuaga najua Darmian anajua mpira kumbe nae ni mweupe sana.
Ntatoa mfano mmoja. Chelsea pale forward players wake wote wame flop. Hawaproduce numbers.
Hilo linamaanisha wote ni wabovu? Shabiki wa chelsea atasema hivo. Ila shabiki wa mpira ataona kitu tofauti. Ataona mfumo wa mwalimu hauleti ubora wa forwards wake
Safi Man U ni uozo tu.Mechi ya juzi ya Sevilla aliupiga mwingi hadi wakati anatoka mashabiki wakamfanyia standing ovation.
Upo serious kabisa, unamlinganisha mtu mwenye miaka 37 na huyo salah mwenye miaka 29....hajafika
Huyo jamaa kajidhihirisha kwamba yeye ni kiazi muda mwingine Bora kukaa kimyaUpo serious kabisa, unamlinganisha mtu mwenye miaka 37 na huyo salah mwenye miaka 29....hajafika
Ronaldo akiwa na 29 alikuwa na goals 60 assist 18 ndani ya game 57.....
By the way salah ana Ballon D'or ngapi hadi sahizi anamiaka 29??
Najua timu hii ina matatizo mengi..lakini nimeamua kuangalia basics tu..Utd ina matatizo mengi Sana mkuu, kutokufanya vzr zigo lote anabebeshwa cr7 ? Kwa nn ?? Mechi kabla ya Jana , mbele alisimama Edson, Nini kilibadilika ? Tuna shida kubwa karibu kila idara, pengine kipa tu anacheza vzr recently, beki za kati Amna kitu, njoo namba sita, kule kwa Shaw napo Amna !
Njoo kwenye build-up nayo uozo,,, wale wa kumalizia(kufunga) napo tuseme Kuna ubutu,,, why Ronaldo ?
Jana legend Owen alitamka kuwa kuwa Ronald na Pogba wakiwa fiti kwa kikosi Hiki Cha utd hakuna wa kuwaweka bench,,(means hakuna mchazaji anaewazidi kwa viwango )
Anyways! Ronaldo alanaumiwaje wkt Tena yeye Ni mchezaji Kama rolimodo ?? Anawahi mazoezini, nidham, winning mentality n.k ! Kuna shida kubwa utd lkn tunifunika na kivuli Cha Ronaldo! Uwezo wa RR mbona hauzungumziwi ? Lini amefundisha team yenye presha kubwa Kama utd ? Anaimeneji vp timu ? Kwa nn wachezaji hawajitumi ? Au wakijituma Ni kipindi Cha kwanza tu ? Ameishia kuwa muongeaji zaidi kuliko vitendo , anyway msimu kwetu ni Kama umeisha. ,,, Tupiganae kwa damu na machozi tuambulie top four pengine !
JamiiForums mobile app
Man u hachomoki hapo labda ajitahidi kwa watfordbaada ya mechi za ubwete ubwete na mnashindwa kushinda ,kuna fixture ipo mbele hapo, nakumbuka ndio ilimfukuza kazi ole,
round ya 2 hii fixture itawakuta baada ya valentine
View attachment 2117456


Huna adabu ww hata kwa wazazi wato toa uchafu wako huo huyo dada salah yye kma yye tu anaogopa CR7
Goat ni kwa muda wote
Before Rangnick CR7 alifunga magoli 12 ndani ya mechi 16,Since Rangnick ameingia timu inafunga magoli machache sanaNajua timu hii ina matatizo mengi..lakini nimeamua kuangalia basics tu..
✓Ronaldo jana alikuwa anaharibu kila flow of play anapojumuishwa kwa kupewa pasi..hawezi kuturn hawezi kupiga pasi nzuri kwa wenzake...sasa mashambulizi yatatokea vipi?...Ronaldo amezeeka next season tujipange..kocha mwenye akili akija usitegemee Ronaldo ndo awe our main no 9.
Kuna game hutegemei sana hata ubora wa kocha kushinda..ndo maana hata kipindi cha Ole tulikuwa na brilliance moments kibao tu na run nzuri ya form..lakini hili liliwezeshwa na wachezaji kucheza basics(kucheza above average).
Again..Maguire,Shaw,Ronaldo wameshindwa kufanya vitu basic mchezoni..na wanachangia pakubwa kwenye matokeo yetu na hivi karibuni.
Mechi zote hizo mbili kama Shaw angetuliza mat*ko zingekuwa offside badala yake kafanya watu wawe onside. Kuanzia mechi ijayo inatakiwa Maguire na Shaw wakae bench.shawberto carlos, diogo dalot, pogba na scott.
hadithi ile ile
View attachment 2118496
View attachment 2118497
Sasa hapo ndiyo United walipaswa ku-take full advantage kwasababu Spurs ana game nyingi mkononi kwa wao kushinda ila ndiyo kama mlivyoona 4 points dropped kwa Burnley na Soton.Spurs wanashikishwa adabu nyumbani.
Ronaldo huyu huyu ambaye Ni mfungaji bora wa serie a , msimu uliopita? Huyu huyu aliekuwa akifunga karibu Kila mechi alipokuwa na Ole? Kutakuwa na Matatizo mengine makubwa zaidi. Ronaldo huyu anaweza akatoka kwenda timu nyingine , akakushangaza..Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..
Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.
Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;
Ronaldo
Shaw
Maguire
Wolves wakishinda kiporo wanatufikia ngoja tuone perfomance yetu kwenye big match next monthSasa hapo ndiyo United walipaswa ku-take full advantage kwasababu Spurs ana game nyingi mkononi kwa wao kushinda ila ndiyo kama mlivyoona 4 points dropped kwa Burnley na Soton.
Hata huyo Ronaldo wa miaka 29, ukimleta saa hizi kwa kocha mkufunzi wa akina TT, angeonekana uozo tu . Anyway, man u Kuna Matatizo makubwa , lakini kwa Nini ukubwa wa Matatizo umeongezeka mwaka huu? Kumbuka mwaka Jana tukiwa na Ole, angalau tuliongoza epl kwa muda wa miezi kadhaa, tukaambulia nafasi ya pili, na Europa tukaambulia fainali. Hapo kina Rashford , Fernandez na Martial walikuwa mastaa. Hata magwaya hakuruhusu magoli mengi Kama ilivyo siku hiI, yaani Kila mechi jamaa lazima atoe Boko, mbona mwaka Jana kulikuwa na clean sheet za kutosha ilihali Magwaya pia alicheza mechi za kutosha? Hebu tutafakari upya..Upo serious kabisa, unamlinganisha mtu mwenye miaka 37 na huyo salah mwenye miaka 29....hajafika
Ronaldo akiwa na 29 alikuwa na goals 60 assist 18 ndani ya game 57.....
By the way salah ana Ballon D'or ngapi hadi sahizi anamiaka 29??
Yes Ronaldo ni mchezaji mkubwa ila usitake kumtetea wakati anakosa each game clear chance kibao afu useme ni coachHata huyo Ronaldo wa miaka 29, ukimleta saa hizi kwa kocha mkufunzi wa akina TT, angeonekana uozo tu . Anyway, man u Kuna Matatizo makubwa , lakini kwa Nini ukubwa wa Matatizo umeongezeka mwaka huu? Kumbuka mwaka Jana tukiwa na Ole, angalau tuliongoza epl kwa muda wa miezi kadhaa, tukaambulia nafasi ya pili, na Europa tukaambulia fainali. Hapo kina Rashford , Fernandez na Martial walikuwa mastaa. Hata magwaya hakuruhusu magoli mengi Kama ilivyo siku hiI, yaani Kila mechi jamaa lazima atoe Boko, mbona mwaka Jana kulikuwa na clean sheet za kutosha ilihali Magwaya pia alicheza mechi za kutosha? Hebu tutafakari upya..