Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20210827-201747.jpg
 
Rolnado kwa £20milion anakuja city...

Pesa ya kunywea Chai kabisa ,lakin ole anakalia kutoa macho kama amepachikwa ukuni nyuma ...


Ole hana uwezo wowote ,hawezi shinda EPL ,kocha amedembeda vile ,hata akitimuliwa united hawezi pata timu yeyote ya kufundisha EPL ...

Ronaldo anakuja city sasa ,tuanze kuwapelekea moto mpaka EPL itue etihad ...

Cityzen chairman
Unajisikiaje
 
Mnashangilia kuasjili mzeee ,...

Sioni ronaldo akifanya maajabu yeyote ndan ya united,..

Ole hana mfumo wa kumanage mtu kama cr7 .

Imagine hapa bissaka anatuma cross ili ronaldo afunge hahaaa
IMG-20210827-WA0116.jpg
 
Ninafuraha sana,
Sijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?

Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.

Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.

2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.

3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.

4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.

5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.

6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.


Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???


Welcome the GOAT.


Vipi muda bado haujatupatia majibu juu ya usajili wa Ronaldo ??

Daemusin Fuentte Darmian The best Bavaria
 
Mabadiliko sasa kutokea
  1. Namba 7 ya Cavani je atanyang'anywa ili apewe Ronaldo
  2. Mpiga penalti ni Fernandes je Atanyang'anywa ili apewe Ronaldo
  3. Je Nani atawekwa benchi kwa ajili ya CR7? ni Martial, Greenwood au Pogba?
 
Back
Top Bottom