Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cursed??
kajisemea De gea.....huwezi kuelewa kabisa tatizo la hii timu!!
 
Sisi kama mashabiki wa Kitayose Footaball Club, tunapenda kuchukua nafasi hii kutangaza kwamba next week tutakuwa na Friendly match dhidi ya Mwanitesa United kwa ajili ya kujiweka sawa na match zinazofuata.
 
Kuna mabadiliko makubwa katika uchezaji wetu.....sahizi hata positioning unaona inaeleweka....

Ralf kwanini asikae hapo miaka 2 akitengeneza timu...

Ralf
Enrique
Ten hag
Poch
Eti ee
 
Umeona, asee Dalot yeah kawa wa moto nakumbuka kipindi cha Ole hakua hata na raha, tulipocheza na AC Millan.

Pogba ukute anavizia Contract, me nataka aende popote pale tupunguze mizigo dressing room

Nina swali dogo, kwa haya matoto na makubwa jinga tuliyonayo kuna yoyote anaweza kuwa Legend wa Man U?

Ukitoa Ronaldo, De Gea.
Hakuna hapo hovyo tu wote and yes nilisema kimetokea kweli.
 
Screenshot_20211106-191540_Instagram.jpg

Kama na mwona sasa hivi Ole "haya kiko wapi......"
 
Back
Top Bottom