Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester united timu ni mbovu kama Daladala za Mazimbu Morogoro .
 
2kio halilo lifanya maguire na la fainal ya simba na azam tofaut yak nn ule c uhuni alio uleta maguire
 
Hii kweli sio bure
Screenshot_20220211-191200.jpg
 
Kuna kinega kimoja kilikua kinasema kocha wa dunia kafika united kwenye kosi la dunia. Juzi kasema haiangalii tena united.

Mi bado nasema tatizo ni kocha.
Huyu kwakweli hamna kocha tunawasingizia bure wachezaji mbona timu zingine zina wachezaji average sana ila wanafanya vizuri mm nataka nikupe mfano hivi Bernardo silver alivokua Monaco na sasahiv Man City no sawa au Rahim Sterling alivo Liverpool na Sasa sawa, sadio mane ,salah, fabinho wapo Kama walivokua mwanzo kipindi wako team zao za zamani.unajua Kuna kocha na Kuna mwalimu Yani klop na pep ni walimu hao more just being a coach. Wana muongezea mchezaji kitu Cha ziada hivi hawa kina rashford, Sancho , Fernandez unafikili ukimpa pep watabaki hivo.hicho kitu kidogo tumekiona kwa pochettino kidogo kwa kina cane,son kina trippier akiwaongea kidogo wachezaji wa uwingereza ni wazuri wanapopata kocha mzuri.kina Alexander Arnold, Andrew Robertson, sasahiv muangalie fli foden is he to interesting Man City haijanunua wachezaji ghari kivile Kama sio grealish walikua price tag yao sijuwi mahrez mil 60
 
Kama Luke Shaw angekuwa anaangaliwa kwa jicho sawa na analoangaliwa Harry Maguire tungegundua kwann Man United haishindi!
Hata mimi naona anaacha sana postion yake na ndipo magoli yanarudishwa. Ujinga sana. Haya maingereza yaishie academy
 
Back
Top Bottom