joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,472
Hasa sisi majirani......... tunatizama Gengeni prethiingiiiii.Manchester united inacheza leo na dunia yote ina furaha.![]()
Hasa sisi majirani......... tunatizama Gengeni prethiingiiiii.Manchester united inacheza leo na dunia yote ina furaha.![]()
Hivi huyu Varane mna uhakika akibaki na straika peke yake ataweza kukaba kweli?
Wanaweza kututandika hawa jamaa.
Maguire ndio mzigo kweye backline ya Utd, akicheza yeye mabeki wenzake huwa wanakuwa na kazi ya ziada.Wala usiwashtue saa hizi bado mapema mno.
Mwanzoni tuliwaambia wakatujibu kwamba ana 3 Champins League.
Huyu Maguire kwanini huwa wanampanga?? Aiseeeh..







Wakanyagwe tuwazike from top 4Sot'on mnakwama wapi majeshi yangu.. nikanyagieni hawa nyumbu mapema.
Yan hii man ni ujinga mtupu...sielew hata wanachocheza n nn..huyu kocha bora tu kapewa mkataba wa miez 6...southampton ya kupiga mashuti 12+ kweli?


