Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jibu hapa pimbi wewe ...

Idadi ya watu uwanja wa OT inaoweza kubeba ni 74,140...

Kwa hiyo kila game wanaingia idadi hio uwanjan ?????

Kama hawaingii hao watu basi huwa hamjazi na Kuna empty seat zipo ,Sasa kwanini unakaza fuvu et nyie kila game mnajaza uwanja full .....

Hata kama mna fan base kubwa kuzid city ila kusema mnajaza uwanja daily wewe unaonekana ni pimbi tu
Bwana mdogo unaweka mno ushabiki mbele tatizo ujamjua chief mkwawa ni nani pita labda jukwaa la tech utaelewa unazungumza na mtu gani nakuona kichwa chako kimejaa makamasi tu kwanza mkuu chief mkwawa anapoteza timu kujibishana na mtu kama wewe kama anajipotezea CV aliyoiweka hapa JF.
 
Mkuu una reasoning za ajabu sana.

1. Utd akishindwa kujaza OT na city akishindwa kujaza Etihad ipi ni Aibu? Huoni kwamba mwenye uwanja Mdogo alitakiwa ajaze sababu mashabiki wachache tu?

2. Ndio united Anajaza kila mwaka Uwanja na data zipo,

Hizi ni data toka statista.
View attachment 2115684

Kuanzia 2009 hadi 2019 uwanja ni full tena unajaza kushinda capacity yake.

2019/20 ndio mechi ziliaghirishwa sababu ya corona na 2020/21 viwanja viliruhisiwa mashabiki wachache mwishoni

Source hapa

Sasa hivi old traford inajengwa siti za watu wa kusimama kuongeza capacity ndio maana unaona msimu huu inarange hio 71000 mpaka 73000 ikiisha hio wataingia watu zaidi ya 76000
Mkuu unajichosha bure tu wa shabiki wa man city wengi ni wajuzi tu hapo man city yenyewe daraja imepanda elfu7 sasa pana shabiki hapo hawa madogo utoto mwingi aangalie man united kwanza hii cite ya mwaka gani na city site yao ni ya mwaka gani usijitese bure uyo dogo ni zero grain
 
Bwana mdogo unaweka mno ushabiki mbele tatizo ujamjua chief mkwawa ni nani pita labda jukwaa la tech utaelewa unazungumza na mtu gani nakuona kichwa chako kimejaa makamasi tu kwanza mkuu chief mkwawa anapoteza timu kujibishana na mtu kama wewe kama anajipotezea CV aliyoiweka hapa JF.
Kitendo cha kusema man utd huwa anajaza mashabiki full kila game na kuendeleza hio hoja lazima aonekane hamnazo kabisa ,mtu unamuonesha Hadi picha kabisa ila kakaza et united kila game inajaza full ....

Yaani kila game inajaza Tena full ,aisee
 
Mkuu unajichosha bure tu wa shabiki wa man city wengi ni wajuzi tu hapo man city yenyewe daraja imepanda elfu7 sasa pana shabiki hapo hawa madogo utoto mwingi aangalie man united kwanza hii cite ya mwaka gani na city site yao ni ya mwaka gani usijitese bure uyo dogo ni zero grain
Hata Wewe utakuwa zero brain tena empty headed ....kama united anajaza full kila game ,
 
Unaleta mambo ya average Tena mwaka mzima ?? Ndio unamtaka hizo takwimu

Etihad inauwezo wa kubeba 53,400 na Kuna game seat zinakuwa empty ila nikulete average attendance per year......

Daa kweli nyumbu ni nyumbu tu
Unapunguza idadi ya uwanja wenu sio? Sio 55000 tena ni 53000?

Mpaka 2010 Man City walikuwa na mashabiki 6 tu Nje ya Uingereza wanaotambulika.

Na Uefa mna Average chini ya 50,000 Atendance sometime hata 40,000 hamfikishi.

Na Kocha wenu mwenyewe analia kila siku watu hawaji uwanjani wewe huku Tz eti unapingana na Guardiola uwanja unajaa.
 
Uyu kachanganyikiwa mkuu mwache tu kwenye jukwaa lao yupo peke yake anajichekesha tu kwaiyo kazi yake ni kupiga kelele kwenye majukwaa ya wengine yani jukwaa lao inapita ata wiki kachangia mwenyewe tu kwaiyo kapata athari ya ubongo mkuu medula ina matatizo mpotezee tu.
 
Point ni hapo united hakuna empty seat ?..... mbona mnaisakama city as if nyie mnajaza uwanja kila game ..?..

Kipind cha corona tulicheza bila fans ,na ndio order ilitolewa ....

Unaniwekea link za kijinga nifanyeje Mimi
Acha utoto.

Nenda kwenye jukwaa lako ukapige hizi kelele.
 
Inakupa picha aina ya wachezaji waliopo Man Utd.
IMG_20220211_150525.jpg
IMG_20220211_150527.jpg
IMG_20220211_150529.jpg
20220211_150552.jpg
 
Unapunguza idadi ya uwanja wenu sio? Sio 55000 tena ni 53000?

Mpaka 2010 Man City walikuwa na mashabiki 6 tu Nje ya Uingereza wanaotambulika.

Na Uefa mna Average chini ya 50,000 Atendance sometime hata 40,000 hamfikishi.

Na Kocha wenu mwenyewe analia kila siku watu hawaji uwanjani wewe huku Tz eti unapingana na Guardiola uwanja unajaa.
Point ni moja tu ...

Hapo OT hakuna empty seat ?

Huwa mnajaza full ???

Sisi hatuna fans ndio na hatujazi sawa vip nyie ..,kawadanganye makolo huko et united inajaza full kila game ila sio Mimi the genius..

Usiruke mada yako
 
Point ni moja tu ...

Hapo OT hakuna empty seat ?????

Huwa mnajaza full ???

Sisi hatuna fans ndio na hatujazi sawa vip nyie ..,kawadanganye makolo huko et united inajaza full kila game ila sio Mimi the genius..

Usiruke mada yako
Nimekupa Data za miaka 10 bado unataka nini? Wewe hujaleta data hata moja zaidi ya picha ya 2020 kipindi cha Korona na polisi waliweka zuio?

Na mada yote hii imekuja baada ya Comment yako ya kwanza kusema Manchester kuna Timu moja tu City, kama umekubali City haijazi uwanja hilo linatosha kuthibitisha Comment yako ya mwanzo haina maana.
 
Back
Top Bottom