Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie mashetani Chelsea tumeongeza kakikombe kengine
20220212_220943.jpg
 
Tungeacha umimi mbele tuwe threat ya magoli ya teamwork kama Liverpool

Timu zozote tunazokutana nazo zingekua zinacheza kwa uoga uoga.

Sema timu zishaona Ronaldo hamna kitu, Sancho hamna kitu, Rashford hamna kitu, ndio maana hawatuogopi wanatuvamia kama nzi wakijua nyuma kuna kubwa jinga Maguire ndio basi tunakua kituko.
umemuangalia sancho mechi hizi mbili za mwisho ?
 
Kwa namna Ronaldo anavyoua build up na chances kadhaa nachelea kusema usajili wake utanisupprise sana kama atafanya maajabu yoyote.The best alimuona kama mwarobaini wa matatizo yetu lakini kwa sasa hoja yangu ya 5 na 6 bila shaka inaanza kuonyesha dhahiri
Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..

Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.

Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;

Ronaldo

Shaw

Maguire
 
Mnataka Ronaldo aende wapi ,huo ni mzoga wenu ,na hautatoka hapo
 
Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..

Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.

Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;

Ronaldo

Shaw

Maguire
Unamuacha Rashford kabisa?
 
Ukimwambia arudi United atakataa.View attachment 2118174
Tatizo la Man U kulea lea mafala, ilitakiwa mchezaji acheze by merits.

Ukionesha hauna cha kuoffer uzwa au piga benchi, anayeanza kelele na kulalamika kuhusu kocha au life la Manchester next transfer window, unamuweka kwenye list.

Anayecheza chini ya kiwango benchi.

Tungekua hivi tungekua na cream bora ya wachezaji, Maguire, Shaw, Ronaldo, wan bissaka, Rashford, wasingekua pale

Na kila signing inayokuja ingekua inajua kua hapa ni kazi kazi sio Ubishoo.
 
Sijui ni kwanini watu wanashindwa kuliona hili..

Tulifurahia yeye kurudi lakini kwa sasa jamaa ni tatizo kubwa kwenye hii timu,japokuwa tuna matatizo mengine makubwa tu.

Majipu makubwa kwenye wachezaji ni;

Ronaldo

Shaw

Maguire
Utd ina matatizo mengi Sana mkuu, kutokufanya vzr zigo lote anabebeshwa cr7 ? Kwa nn ?? Mechi kabla ya Jana , mbele alisimama Edson, Nini kilibadilika ? Tuna shida kubwa karibu kila idara, pengine kipa tu anacheza vzr recently, beki za kati Amna kitu, njoo namba sita, kule kwa Shaw napo Amna !

Njoo kwenye build-up nayo uozo,,, wale wa kumalizia(kufunga) napo tuseme Kuna ubutu,,, why Ronaldo ?

Jana legend Owen alitamka kuwa kuwa Ronald na Pogba wakiwa fiti kwa kikosi Hiki Cha utd hakuna wa kuwaweka bench,,(means hakuna mchazaji anaewazidi kwa viwango )

Anyways! Ronaldo alanaumiwaje wkt Tena yeye Ni mchezaji Kama rolimodo ?? Anawahi mazoezini, nidham, winning mentality n.k ! Kuna shida kubwa utd lkn tunifunika na kivuli Cha Ronaldo! Uwezo wa RR mbona hauzungumziwi ? Lini amefundisha team yenye presha kubwa Kama utd ? Anaimeneji vp timu ? Kwa nn wachezaji hawajitumi ? Au wakijituma Ni kipindi Cha kwanza tu ? Ameishia kuwa muongeaji zaidi kuliko vitendo , anyway msimu kwetu ni Kama umeisha. ,,, Tupiganae kwa damu na machozi tuambulie top four pengine !

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom