Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Son hawezi kuja kwenye timu la mapimbi kama hili ...Haaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
Haaland anataka kushinda Mataji ,nyie hata sahani la carabao hamliwezi ...
Rice Hana ndoto Wala haipendi united Toka moyoni ...

