Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tungeacha umimi mbele tuwe threat ya magoli ya teamwork kama Liverpool

Timu zozote tunazokutana nazo zingekua zinacheza kwa uoga uoga.

Sema timu zishaona Ronaldo hamna kitu, Sancho hamna kitu, Rashford hamna kitu, ndio maana hawatuogopi wanatuvamia kama nzi wakijua nyuma kuna kubwa jinga Maguire ndio basi tunakua kituko.
 
Tukishapataga goli tu tunaanza kukaa nyuma tunapunguza speed ya kwenda mbele sijui kwanini?? Sec half inaweza kurudi ya last week.
Dalot anaimprove sana pogba jamaa linajua basi tu jinga jinga. Hizi nafasi tungetumia tushamaliza mechi ila fresh.
 
Kuna mabadiliko makubwa katika uchezaji wetu.....sahizi hata positioning unaona inaeleweka....

Ralf kwanini asikae hapo miaka 2 akitengeneza timu...

Ralf
Enrique
Ten hag
Poch
Sema sometimes wachezaji wanakua tatizo. Ilitakiwa ndio aanze kubuild timu sio Ole on the Wheelchair.
 
Haaland apewe hata £350k per week ni mpambanaji sana pia sidhani kama ni aina ya mchezaji anayeweza kuwa influenced na magenge ya kihuni pale OT. Nitafurahi ujio wake ukiongozana na Heung Min Son pamoja na Rice bila kusahau CB yeyote yule mwenye uwezo kumzidi Maguire.
Bro hakuna mtu mgumu kufanya nae biashara kama Daniel Levy, Son mtoe kabisa hapo
 
Tukishapataga goli tu tunaanza kukaa nyuma tunapunguza speed ya kwenda mbele sijui kwanini?? Sec half inaweza kurudi ya last week.
Dalot anaimprove sana pogba jamaa linajua basi tu jinga jinga. Hizi nafasi tungetumia tushamaliza mechi ila fresh.
Umeona, asee Dalot yeah kawa wa moto nakumbuka kipindi cha Ole hakua hata na raha, tulipocheza na AC Millan.

Pogba ukute anavizia Contract, me nataka aende popote pale tupunguze mizigo dressing room

Nina swali dogo, kwa haya matoto na makubwa jinga tuliyonayo kuna yoyote anaweza kuwa Legend wa Man U?

Ukitoa Ronaldo, De Gea.
 
Pia weakness yetu ni 6 ukiangalia hii First half unaona kabisa McTominay japo anajituma lakini anachelewa kufanya maamuzi na pasi zake sio stable sana...
 
My priorities
1. Declan Rice/ Joao Palinha/ Tchouamen/ Philip's
2. Patrick Schick
3. Sven Botman.
4 Son/ Dominic Szoboszlai
Mkuu Fabrizio kaja na update leo Tielmans haongezi mkataba mwisho wa msimu, hatufai huyu kweli?
 
Screenshot_2022-02-10-09-22-25-10.jpg
 
Back
Top Bottom