Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Angalia replay utaona Dalot ana kimbia mdogo mdogo hana Habari. Maguire hana speed akipitwa Ngumu ku recover, move kama zile ndio Bissaka alikuwa akituokoa. Na Mc tominay na Shaw pia wana makosa yao.Lile goli angekua bissaka au linderof angeweza asifunge ila maguire hata kulala simple tu kumemshinda kampisha hata kumpush kidogo basi dah bichwa lile.
Limetunyima ushindi jana maana limekaa offside tumekataliwa goli limeshindwa kukaba tumefungwa.
Cheki hii video muangalie Dalot