Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu ndio mnamuangusha sana Magwaya na sio kinyume chake

Mnamkumbuka magwaya wa Leicester city!!! Alikua kitasa kweli kweli

Haya matokeo mnayo yapata baada ya machozi, damu na jasho la magwaya

Kuna uwezekano mkubwa bila magwaya sasa hivi mngekua na Newcastle kule
 
Beki la dunia lina nyoosha nyoosha misuli kudadadeki......😀😀😀
Screenshot_20220209-132224_Instagram.jpg
 
Lile goli angekua bissaka au linderof angeweza asifunge ila maguire hata kulala simple tu kumemshinda kampisha hata kumpush kidogo basi dah bichwa lile.
Limetunyima ushindi jana maana limekaa offside tumekataliwa goli limeshindwa kukaba tumefungwa.
 
Jamaa lilikaa offside at the same time likacommit faulo
 
Back
Top Bottom