Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Wewe hujielewi unajua ...Fainali UCL ni Neutral haina cha U man city wala U chelsea, obvious itajaa, Stay on Topic tunazungumzia Man City na Uwanja wao unaitwa Etihad.
Umesema united haijazi Sana kipindi cha corona ?? Unaakili wewe kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie ni lini kipind cha corona fans waliingia uwanjan?