mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787


Mfumo Sio inshu kama hauna technique. Mifumo mingi bila technique ni kujaribu bahati.


Mfumo Sio inshu kama hauna technique. Mifumo mingi bila technique ni kujaribu bahati.
Izo za Leeds kocha alikuwa Sosha.Nimetolea mfano Kwa carrick uone utofauti Kwa mechi chache alizo simamia Kwa mantiki ya kusema tatizo ni wachezaji Ingali wachezaji wa Sasa na walio pita ni walewalee,ndo maana mm nikasema tatizo ni kochaa.baada ya kuwafunga goli la pili, mechi ya arsenal ilikuwa wazi kwa kila upande, kilichowagharimu ni kujilinda kwao baada ya kupata goli, mechi yetu bora msimu huu ni dhidi ya leeds na dakika 30 za crystal palace
Kocha mfumo wake ni 4-2-2-2 lakini kaona haimupi positive results na kuona kuhama kwenda 4-2-2 kaona haitoshi kumpa anachokitaka kaenda 4-3-3 kaona Bado Hali ni Ile Ile kaenda mfumo Mwingine.Muda huo anabadili mfumo Ingali mbinu anazo tumia ndo zile zileee.Ndo hayoo mpira hauvutii kuangalia,kupoteza mipira saana,kushambuliwa sana,na mpaka kufikia kumuonea huruma De gea Kwa kudhani anataka kujitoa kafara dhidi ya timu.Matokeo yake ndo hayoo.jaribu kudadavua kwa kutumia kesi ya man utd
nimekutajia mechi tulizocheza vizuri msimu huu chini ya makocha wote, ikiwa kwako wewe performance yetu dhidi ya villareal ilikuwa ni bora basi acha niheshimu mtazamo wako. Kuendelea na mjadala ni kupoteza muda kwa pande zote.uliangalia mechi dhidi ya crystal palace?Izo za Leeds kocha alikuwa Sosha.Nimetolea mfano Kwa carrick uone utofauti Kwa mechi chache alizo simamia Kwa mantiki ya kusema tatizo ni wachezaji Ingali wachezaji wa Sasa na walio pita ni walewalee,ndo maana mm nikasema tatizo ni kochaa.
Aangalie Liverpool,magolii mengi yanatokea baada ya wao kushambuliwa Kwa kupiga pasi ndefu mpaka Kwa mawinga na kutikisa nyavu na si wakati wao wanapo kuwa wameshambulia.Hii ni mbinu ambayo klopp anaitumia Kwa kuwavuta wapinzani kwenye goli lake huku akiwa kawaacha wachezaji wake wenye speed na jicho la kuona goli mbele.
Nimesema performance ilikuwa nzuri kipindi Cha pili dhidi ya Villarreal.Mechi dhidi ya palace niliangalia,timu ilijitahidi kupress lakini walikuwa wakifika golini hawakuwa na impact yoyote.Lile goli la fred lilikuwa la bahati tuu kipa hakutegemea kama mpira ungepigwa pale.Mbali na hapo game ingeisha draw licha ya performance nzuri.nimekutajia mechi tulizocheza vizuri msimu huu chini ya makocha wote, ikiwa kwako wewe performance yetu dhidi ya villareal ilikuwa ni bora basi acha niheshimu mtazamo wako. Kuendelea na mjadala ni kupoteza muda kwa pande zote.uliangalia mechi dhidi ya crystal palace?
Vipi jana kipindi cha pili tuliupiga mwingi bila ya Ronaldo?Manchester inacheza leo na dunia nzima ina furaha,kwa leo nadhani tutacheza mpira mzuri ambao atujaonekana tukicheza kwa muda mrefu.
Waingereza wapuuzi sana! Martial tuliambiwa mvivu mara bishoo! Trashford anafanya vitu vya ajabu sijawahi ona, waingereza wanakwambia "Mental Health", msimu uliopita "anatakiwa surgery".Marcus rashford amekuwa baba lishe.
Hili jamaa hovyo sana
Makocha watatu wote tatizo lile lile.Kuangalia mechi za Man Utd siku hizi inahitaji uwe na moyo mgumu
Timu zinakuja Old Trafford halafu zina dominate game na kutukimbiza mwanzo mwisho
Sijui ni mfumo wa kocha hauleweki, au kocha mwenyewe hafai au wachezaji hawakidhi vigezo vya kucheza Utd
Shabiki kinyaa weweTatizo ni kocha, System yake ya uchezaji.Wachezaji ni wale wale walio kochiwa na Carrick kabla ya kocha huyo Kutua.Mbona wakati wa Carrick walikuwa hawapotezi mipira?
Kwa iyo tumfukuze rr tumrudishe carrick sioIzo za Leeds kocha alikuwa Sosha.Nimetolea mfano Kwa carrick uone utofauti Kwa mechi chache alizo simamia Kwa mantiki ya kusema tatizo ni wachezaji Ingali wachezaji wa Sasa na walio pita ni walewalee,ndo maana mm nikasema tatizo ni kochaa.
Kweli kabisa msimu huu nimeangalia mechi zote mpaka sasa mechi tuliyocheza vizuri ni ya Leeds tu na hizo dk chache kwenye mechi ya Crystal Palace, hadi nikajisemea "United are back" kumbe ni danganya toto tu wachezaji walimsikiliza mwalimu mechi hiyo basi.baada ya kuwafunga goli la pili, mechi ya arsenal ilikuwa wazi kwa kila upande, kilichowagharimu ni kujilinda kwao baada ya kupata goli, mechi yetu bora msimu huu ni dhidi ya leeds na dakika 30 za crystal palace
Usifananishe mpira wanaocheza wachezaji wa Liverpool na kile wanachokifanya United. Liverpool wapo mbali kuanzia style ya uchezaji, nidhamu ya wachezaji kwa kocha na commitment ya wachezaji kwa club.Aangalie Liverpool,magolii mengi yanatokea baada ya wao kushambuliwa Kwa kupiga pasi ndefu mpaka Kwa mawinga na kutikisa nyavu na si wakati wao wanapo kuwa wameshambulia.Hii ni mbinu ambayo klopp anaitumia Kwa kuwavuta wapinzani kwenye goli lake huku akiwa kawaacha wachezaji wake wenye speed na jicho la kuona goli mbele.
Tukisema hawa wazee wote inabidi waondoleo coming june 2022 watu wanatuona vichaa..Edison cavani akiwa na mpira anasababisha khofu kwa mtazamaji kwa sababu muda wowote anaweza kufanya maamuzi yasio sahihi. Faida pekee anayokupa ndani ya uwanja ni nidhamu, utayari na morali ya kuonyesha jinsi gani mchezaji anapaswa kuipigania timu.
Subiri uone ndo ufurahie.James Ducker :
Expect to see Arnold give greater autonomy to football department, namely Murtough, Fletcher, next permanent manager, Rangnick (as consultant) and anyone else who comes in.
Woodward will assist with football club board meetings until end of June. No consultancy role thereafter
========================
Richard Arnold achongewe sanamu lake kabla hajaanza kazi rasmi
Man u mnatakiwa mpate kocha kama Steve RobinsonIzo za Leeds kocha alikuwa Sosha.Nimetolea mfano Kwa carrick uone utofauti Kwa mechi chache alizo simamia Kwa mantiki ya kusema tatizo ni wachezaji Ingali wachezaji wa Sasa na walio pita ni walewalee,ndo maana mm nikasema tatizo ni kochaa.




Michezaji ya Man u ndio hovyo wala sio kocha, wangeishushia na mishahara ili akili iyakae vzur.Makocha watatu wote tatizo lile lile.
Hapo tatizo ni wachezaji.
Waingereza vichaa tu.
Huyu jamaa asepe.Huyu Ronaldo ni mpumbavu sana
Ni uvivu tu wa kupress shenzi kabisaView attachment 2072400