Nyumbu ni nyumbu tuNaona wachezaji wameongea kwa uchungu sana kwamba tunaanza kazi leo tumejipanga kwerii kwerii.




What I like about RR unlike OLE is that he has a clear way of thinking, he knows what he wants from his team, how he wants them to play, and what every player needs to bring into that process to make it real.
But, what has been happening is that, a couple of guys, especially Ronaldo has been resistant to this process, and RR came in at the moment when Ronaldo has already established himself as a cult leader in the minds of some guys.
Early on, before the sucking of OLE, rumors were already rampant that Ronaldo has taken Over the dressing Room, and a couple of guys were uneasy about it, and I was like, what the hell is going on... not sure whose idea exactly was about bringing him back between OLE & Fergie and pressure from a bunch of short sighted fans.
Now, he wants to vet who the permanent coach should be... faki.
RR yuko very clear anachokihitaji, kupitia kusema kwakwe ndio tunagundua kumbe tatizo haliko kwa mwalimu bali ni utayari wa wachezaji kufuata maelekezo na kujitoa kikamilifu ama uwezo wao ni mdogo. hataacha kuweka wazi kuwa kwa upande wake anatimiza majukumu ila tatizo ni wachezaji ndio wavivu, wanatii maagizo kwa muda mfupi then wanaanza kuwa wasindikizaji tu uwanjani.Rangnick: "Whenever you watch games, even if it's not the top teams, they play with intensity, they play with physicality, they play with energy and they sprint. This is what we have to do. We have to develop into this kind of team."
================
kuna wadau humu ndani wanapomsikia ralf anazungumzia habari hizi basi wao wanakereka na wengi wao wanatokea timu pinzani, wengine wanamfananisha na mourinho na wengine wanafika kutabiri mabaya kwa kusema kadri atakavyoendelea kufungwa ndipo atakaponyamaza kwa sababu anapenda kuongea sana.
teh teh teh
hivi kuna ubaya gani kwa mwalimu kuzungumzia muundo wa kiuchezaji anaoupendelea kucheza ndani ya timu yake, ralf ataacha kubweka ovyo pale ambapo wachezaji watakapoamua kufuata mawazo yake na si vyenginevyo
kila mara ralf amekuwa akirejelea maneno hayo kwa hayo
na amekuwa akiitolea mfano mechi yetu dhidi ya crystal palace, kama tuliweza kucheza vizuri kwa dakika 30 kwa kuangalia video za jinsi ya kucheza gegenpressing sasa kwa nini wachezaji washindwe kucheza tena kama vile haliyakuwa timu inafanyia mazoezi mbinu hiyo.
- intensity
- physicality
- possession tukiwa na mpira na tusipokuwa na mpira.
tukiweza kuyafanyia kazi maeneo hayo matatu basi tutakuwa na uwezo wa kupambana na ATLETICO MADRID .
tatizo lilianzia kwa mwalimu aliyepita hakuweza kuweka msisitizo juu ya mambo hayo matatu mbele ya hadhara na hata kwenye viwanja vya mazoezi, amekuja mwanadamu anayehitaji sifa hizo tatu wachezaji wanahisi uzito kubadilika.RR yuko very clear anachokihitaji, kupitia kusema kwakwe ndio tunagundua kumbe tatizo haliko kwa mwalimu bali niutayari wachezaji kufuata maelekezo na kujitoa kikamilifu ama uwezo wao ni mdogo. hataacha kuweka wazi kuwa kwa upand wake anatimiza majukumu ila tatizo ni wachezaji ndio wavivu, wanatii maagizo kwa muda mfupi then wanaanza kuwa wasindikizaji tu uwanjani.
yale makanjanja yalikuwa yanajificha sana kwenye ubovu wa mbinu za mwalimu, kwa profesional footballer hawezi ku struggle kuadapt mbinu za mwalimu kwa kiwango kikubwa kama wachezaji wa man u walivyo, ndio maana kabla kocha hajaanza kuwapasukia ulikuwa unasikia story mara ooh ronaldo ameiteka dressing room mara ooh wachezaji wanalalamikia mbinu za mwalimu, RR anaweka wazi kwamba hata timu ndogo kwenye ligi zinacheza mpira wa nguvu na zinajaribu kuutawala mchezo kwa hiyo kucheza katika ligi ya namna hiyo timu lazima iendane na mikiki mikiki ya ligi, imagine pogba atawale dressing room, na ronaldo naye hivyo hivyo, sasa hiyo timu inafundishwa na mwalimu au wachezaji, ni lini watajitoa watumikie mbinu za mwalimu? ndio maana wachezaji kwa sasa wameona hawana kichaka cha kujificha, wanacho takiwa kufanya kimewekwa hadharani sasa ni juu yao wafuate au wapishe wachezaji watakao weza kufuata maelekezo ya kocha bhaas. ndio maana yanatoka mapangoni na kuanza kujibu shutuma zinazowakabili, they feel responsible for shit perfomances they have been giving.tatizo lilianzia kwa mwalimu aliyepita hakuweza kuweka msisitizo juu ya mambo hayo matatu mbele ya hadhara na hata kwenye viwanja vya mazoezi, amekuja mwanadamu anayehitaji sifa hizo tatu wachezaji wanahisi uzito kubadilika.
bahati mbaya sana kwa wakati huu upepo umewavumia vibaya wachezaji wetu kwani hakuna chochote watakacho kilalamikia mbele ya hadhara au kwa kuvujisha taarifa kama wafanyavyo baadhi yao wakaaminiwa na kuungwa mkono kama ilivyotokezea hapo nyuma (kuanzia Ole hadi mourinho)
kwa sasa presha imehamia kwao na kwa ushahidi wa hilo
- jaribu kufuatilia mahojiano ya maguire hapo juzi (yeye kama nahodha inasemekana aliitisha mkutano rasmi wa wachezaji na kocha kuzungumzia mwenendo wa timu)
- fuatilia majibu ya bruno baada ya kuvumishiwa tetesi za kuhamia barcelona, umeona wapi mchezaji wa ulaya kujibizana na tetesi za magazeti ya kufungia maandazi
- fuatilia post ya fred hapo juzi akikemea taarifa za uongo zinazosambazwa juu yake
- fuatilia post ya rashford hapo juzi
- fuatilia maneno ya msemaji wa pogba alipokanusha habari za kwamba mteja wake amefikia makubaliano ya kupewa mkataba mpya wa paundi laki 5.
kwa sasa wana machaguo mawili yanayowakabili nayo ni:
tumemsikia evra akitoa duku duku lake
- kufuata matakwa ya mwalimu (kocha ameendelea kusisitiza pressing 😛😛😛
- au kuendeleza ukaidi ndani ya uwanja baadae wapambane na matusi ya mashabiki na pundits.
roy keane kama kawaida yake ameendelea kumpa za uso harry maguire
lou macari naye amebwatuka
Ni kweliyale makanjanja yalikuwa yanajificha sana kwenye ubovu wa mbinu za mwalimu, kwa profesional footballer hawezi ku struggle kuadapt mbinu za mwalimu kwa kiwango kikubwa kama wachezaji wa man u walivyo, ndio maana kabla kocha hajaanza kuwapasukia ulikuwa unasikia story mara ooh ronaldo ameiteka dressing room mara ooh wachezaji wanalalamikia mbinu za mwalimu, RR anaweka wazi kwamba hata timu ndogo kwenye ligi zinacheza mpira wa nguvu na zinajaribu kuutawala mchezo kwa hiyo kucheza katika ligi ya namna hiyo timu lazima iendane na mikiki mikiki ya ligi, imagine pogba atawale dressing room, na ronaldo naye hivyo hivyo, sasa hiyo timu inafundishwa na mwalimu au wachezaji, ni lini watajitoa watumikie mbinu za mwalimu? ndio maana wachezaji kwa sasa wameona hawana kichaka cha kujificha, wanacho takiwa kufanya kimewekwa hadharani sasa ni juu yao wafuate au wapishe wachezaji watakao weza kufuata maelekezo ya kocha bhaas. ndio maana yanatoka mapangoni na kuanza kujibu shutuma zinazowakabili, they feel responsible for shit perfomances they have been giving.
Manchester inacheza leo na dunia nzima ina furaha,kwa leo nadhani tutacheza mpira mzuri ambao atujaonekana tukicheza kwa muda mrefu.


tusubiri kwanza game ianze, yasije yakatokea yaleyale ya wolves