Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ronaldo achezi leo wala kwenye sub ayupo tuone tutachezaje maana watu wanapiga sana makelele humu kwamba Ronaldo mzigo ngoja tujionee leo hata Maguire ayupo.
Screenshot_20220110-215819.jpg
 
Rangnick: "Whenever you watch games, even if it's not the top teams, they play with intensity, they play with physicality, they play with energy and they sprint. This is what we have to do. We have to develop into this kind of team."
Hii suala ni kweli kabisa. Hata ubora wa city,liverpool na chelsea uko kwenye intensity with and without the ball.
Hapo nyuma Maguire aliwahi kuwaomba wachezaji wenzake hasa washambuliaji wasaidie kwenye ulinzi bila kuwategea mabeki peke yao.
 
What a header and what a ball in. Fred isn't looking for anybody, he is putting it in that danger area. McTominay commits with everything he does and that is a very good goal
 
Bado sijaona afueni yoyote, mipira tunapoteza kizembe, beki nazo zinatoa boko, cha kushukuru kipindi cha kwanza Villa bahati haikua yao la sivyo ubao ungesomeka Man 1 - Villa 2.
Utoto utoto bado ni mwingi, kuomba tu kipindi cha pili matokeo yabaki kama yalivyo ila hii timu mpaka ije ikae sawa inahitaji reformation ya hali ya juu.
 
Yaani hapa Man United wanapumulia mashine tu.
 
Jinsi Elanga alivyocheza ndiyo senior players wanapaswa kucheza, Rashford ni mvivu wa kutupwa. kuna watu humu wanamlaumu kocha kila kukicha hivi mmeona alichofanya Rashford? Kipa anatema mpira badala ya ku-press kumpa challenge kocha afanye errors fala linatembea mdogomdogo likiwa na uhakika wa namba United na £200k per week.

Safari bado ni ndefu sana, quality iliyopo United siyo timu inapaswa ku-struggle kila mechi, ingekuwa inatokea tunacheza vibaya mechi moja unaweza kupotezea tu ila week in week out tunacheza kukamilisha ratiba tu.
 
Back
Top Bottom