Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Sure ukiangalia tunavyocheza unaona kabisa mchezaji anayetakiwa kubaki ni De Gea tuAtabaki de gea na benchi la ufundi tu....
Sure ukiangalia tunavyocheza unaona kabisa mchezaji anayetakiwa kubaki ni De Gea tuAtabaki de gea na benchi la ufundi tu....
Kabisa mkuuMakocha wakianza kuwadrop na kuchukua wachezaji kwenye academy they will definitely change
Lakini utashangaa kelele za kuchukuliwa Poch kisa kaonesha kumkubali MBE wao wasijue naye ni deadwood tu.Narudia tena huyu rr apewe mkataba wa kudumu mpaka afe kwenye kiti mwenyewe......
ole mngempa support iv angewafkisha mbal ila uyu babuNarudia tena huyu rr apewe mkataba wa kudumu mpaka afe kwenye kiti mwenyewe......






anatia huruma kwa kwely
Sapoti ya miaka mitatu ilitosha kabisa kumchinja pale trafford.......ole mngempa support iv angewafkisha mbal ila uyu babuanatia huruma kwa kwely
Na babu apewe mi3Sapoti ya miaka mitatu ilitosha kabisa kumchinja pale trafford.......
Ni kwel wavivu awajitumi awaelekezek makosa wanayofany sio mpk ufundishwe watumie ukubwa waoAnachofanya kocha ni kuwakata midomo wachezaji, kuwaporomoshea lawama ambazo makocha wengine waliporomoshewa kifupi anajihami. La mwisho anajaribu kuwakata masikio wachezaji ambao masikio yao yalianza kuzidi vichwa![]()
Njaa haijakukong'otaa!!Kuna muda man inanifany mpaka nichukie mpira maana tukifungwa nakuwa nasusa kula sifa y kaz na kuumwa juu
Ronaldo hana cha kujirekebisha, anachocheza sasa hivi ndiyo kiwango chake umri umeshaenda hawezi kufanya mambo aliyokuwa anafanya akiwa na miaka 18. Young players wana cha kujifunza kutoka kwa Ronaldo, haiwezekani mtu aliyeshinda karibu kila taji kubwa Ulaya na Duniani awe na mentality ya ushindi kushinda mtu ambaye hajashinda chochote zaidi ya Europa na FA Cup.Maneno aliyoongea CR7 hayaendani na kiwango anachocheza, ajirekebishe yeye kwanza.