D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Man United over take Man City to have the most expensive squad in the Premier League
Sijazungumzia kuhusu mishahara, hujui kusoma Wala kutafsiri maandishi ya kimichezo,kaa kwa kutulia usirukie vigumu...ahsanteUtakufa kwa ujinga wako, wachezaji wanandelea kupokea mishahara mamilioni kila wiki.
mbona mechi ya crystal palace waliweza kuadapt huo mfumo, dakika 30 za mwanzo walionyesha uwezo wa hali ya juu sana kiphysical, intensity, pressing yenye muunganiko.Some Man Utd players are struggling to adapt to Rangnick's methods and play in the 4-2-2-2 formation, and doubt whether he is the right man to be in charge.
hata Ole gunnar na benchi lake la ufundi likiongozwa na Kieran McKenna walivurumishiwa mvua ya maneno kama hayo matokeo yake na sisi mashabiki pamoja na wapenzi tukaingia choo cha kike kwa kuwaamini kwa haraka wachezaji na madai yao ya udhaifu wa benchi la ufundi.Many of the players are underwhelmed by Rangnick’s coaching, not impressed by his tactics and disappointed by the quality of his assistants.
Mdau safari hii hawa wachezaji hawaponi amini nakuambia.......wataondoka mmoja baada ya mwinginehata Ole gunnar na benchi lake la ufundi likiongozwa na Kieran McKenna walivurumishiwa mvua ya maneno kama hayo matokeo yake na sisi mashabiki pamoja na wapenzi tukaingia choo cha kike kwa kuwaamini kwa haraka wachezaji na madai yao ya udhaifu wa benchi la ufundi.
amekuja ralf na falsafa zake za kibabe ameanza kuletewa hadithi kama zile za Ole.
kama bodi itawasikiliza wachezaji na madai yao tujiandae na anguko la milele kwa sababu hatokuja kocha mwengine yeyote atakayeweza kuwacontrol hao wachezaji na upumbavu wao.
Kwa kuangalia kikosi mimi niliona chelsea imecheza 4 2 3 1 narrow.Castr Lukaku amesimama na kai pale mbele nyuma yao wakacheza no 10 wawili mount na Ziyech katikati jorginho na saul back 4 zikawa alzpicueta rb Rudiger cb sarr cb na alonso lb kijana uwe unafuatilia mpira badala ya kuogonzwa na chuki
Broo most successfully people in the world are most rejected people in their society....acha waongee lkn sisi tumpe muda RR by then hata FERGUSON alikuwa mkali sana kina Beckham amewahi kuwarushia kitu, kina Ronaldo walikuw wanafokewa hadi wanalia bt now wanampenda na nidhamu aliijenga na performance nzur alipata coz wachezaji walimuogopa, walimsikiliza, kujitoa ili wamfurahishe kocha....RR sio sababu ya cc kufanya vbaya.....broo na unajua tukianza kulaumiana trust hatutajenga solution ni kuondoa trash na kila asiefaa na km team wapambane kuondoa matokeo mabaya....wachezaji ni tatzo cheki hii vdeo chini na unambie ni wachezaji gn yuko makin na ana morali ya ushindi atafany hvi na united tunao wengi km huyu👇👇👇Rangnick is said to feel that he simply doesn’t have enough time to make the changes he knows are needed before the end of the season #mulive [@ChrisWheelerDM]
Chapa mzee na mkataba wa miaka mitatu, miaka miwili ya kutoa uchafu na kuanza kusuka kikosi kwa kuingiza watu wanaotaka kucheza United na wanaofaa kwenye mifumo. Mpaka mwaka wa 3 naamini hawa watu hawatakuwa wachezaji wa Manchester United: Martial, Pogba, Mata, Matic, Cavani, Jones, Maguire, Lingard, Bailly, Heaton, Grant.
Ila tayari nishaona mafala wengi sana huko Europe wanasema Rangnick hafai.
Rangnick mwisho ni mwezi wa sita kukaa kwenye benchi.Rangnick is said to feel that he simply doesn’t have enough time to make the changes he knows are needed before the end of the season #mulive [@ChrisWheelerDM]
Chapa mzee na mkataba wa miaka mitatu, miaka miwili ya kutoa uchafu na kuanza kusuka kikosi kwa kuingiza watu wanaotaka kucheza United na wanaofaa kwenye mifumo. Mpaka mwaka wa 3 naamini hawa watu hawatakuwa wachezaji wa Manchester United: Martial, Pogba, Mata, Matic, Cavani, Jones, Maguire, Lingard, Bailly, Heaton, Grant.
Ila tayari nishaona mafala wengi sana huko Europe wanasema Rangnick hafai.
Wewe unabishana na kocha TT yeyemwenyewe amesema ametumia 4222 kwenye Chelsea TV after game na akataja sababu za kwanini katumia huo mfumo pamoja na kuwa una macho ambayo uoni vizuri still unabishana na kocha aliosomea hiyo kaziKwa kuangalia kikosi mimi niliona chelsea imecheza 4 2 3 1 narrow.
Kulikua na AM 3, Kai, Mount na Ziyech hawa wote walikua nyuma ya ST Lukaku ila Ziyech katika 4 2 3 1 narrow anakua RAM na mwingine LAM na mwingine CAM nyuma DM wawili wakina Saul.
Kuuliza tu formation ni chuki? Mbona kama ni inferiority complex hii?
Kazi hajasomea.Wewe unabishana na kocha TT yeyemwenyewe amesema ametumia 4222 kwenye Chelsea TV after game na akataja sababu za kwanini katumia huo mfumo pamoja na kuwa una macho ambayo uoni vizuri still unabishana na kocha aliosomea hiyo kazi