Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
greetings from Saint Maximin
Kivipi.ukweli mchungu: Tusipokuwa na mpira Ronaldo ni liability. Timu inakosa balance kwa sababu ya huyuu mzee
Mkuu umesahau kumtaja Fred hapo.Kuna vinabo wawili wanaosababisha Man Utd isije na mpira muda mrefu namaanisha Mc Tominay na Rashid, hawa jamaa kila team inapokuwa na mpira lazima ipotelee kwao either kwa kutoa pasi zisizo na macho au kutuliza mpira hovyo.
Sasa kama kila muda team inakuwa na kazi ya kukaba ili kurudisha mipira inayopotea ambayo hâta hivyo hupotea kila inapopatiana, utaionaje kazi ya Ronaldo??
Team inapoteza sana mipira kwa upumbavu wa midfielders kwahiyo ni lazima umuone Ronaldo kama mzigo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo ni Sosha wa Kijerumani hakuna kocha hapo.Ralf anaisoma bado timu na wachezaji sahihi ngoja tumpe muda tho anatumia formation za kuchelewa sana kupata matokeo
How had he missed that!!!!
Angalia Aston villa alilalwa bao ngapi kwanza..Pale juu kuna upepo mkali sana, mtu goigoi kama wewe huwezi pahimili.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wamepack Bus Sasa Lakini Tutawafungaaa