Simple football hahaha sikujua kama Bielsa alikuwa anatoa matusiNakumbuka Jose Mourinho alifukuzwa kazi baada kufungwa na Liverpool goli 3, naamini hii itakuwa mechi ya mwisho kwa Ole
Lindelof ni kitasa Sweden, Maquire ni tegemeo England, Ronaldo ni mchezaji bora duniani, Fred piga ua anapata namba pale Brazil, the selecao
Hapo sijamtaja Bruno, Shaw, Pogba, Sancho, Dr. Rashford, Best emerging talent in form of Greenwood n.k.
Ole kubaki kazini ni jinai.
Na sio kufungwa tuSema kufungwa na Liverpool nyumbani inauma sana.
Kwani cavani ni kijana?Toa lizee lironaldo ingiza Cavani tupate kifuta machozi
Huu mfumo unaitwa ole sendek- pumbu -gang- gang style ....
Ilikuwa mwezi AugustLeo katika kimbukumbu
Ilikuwa tarehe 24/10 Manchester united alimfunga Arsenal goal 8 kwa 2
Mpaka sasa yeye kafungwa goal 5 na dakika zpo za kutosha tuendekee kusubiri.
Ndugu yangu kwa kweli sasa tungoje tuone watafanyeje kwa kweliBado hajafukuzwa tu
Maana leo ndio leo
Ila simba mmejua kuniliza
A poorly coached team
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hat mm nilimsikia huyo shabiki hata alicho tuzidi ni point tu“JANA SI CHELSEA ALISHINDA 7?
NA SISI TUNARUDISHA MAJIBU, WASITUZIDI SANA KWENYE GD”
Alisikika shabiki mmoja asie na huruma![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]Ndugu yangu kwa kweli sasa tungoje tuone watafanyeje kwa kweli
Kama hawatomfukuza tuhamie hata westham kwanza
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nastafu kwa muda kuingia hii page ni tabezi na mambo mengine kwa sas my body is tired
yule mzee huenda alikusudia kutukejeli na si kutusifia.Simple football hahaha sikujua kama Bielsa alikuwa anatoa matusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ni mwendo wa kuwachumisha mchicha tu.
scholes alishamwambia Ole, kwa jinsi timu ilivyocheza kipindi cha kwanza dhidi ya Atalanta kama utaingia uwanjani na mentality ile ile ulioionyesha utaadhibiwaHatimae scholes amshushia lawama sosha...tutaelewana tu
Bado hajafukuzwa
DuhManguire ni tatizo kubwa sana,kibaya zaidi bei tuliyotoa na kiwango chake havina uhusiano.