Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani na jezi yangu nimeivaa mapema kabisaa leo, hata siwazi kuhusu game ya leo
 
Kosi kama kosi
Screenshot_20211024-142418.jpg
 
Ole is an idiot coach pogba unamuwekaje benchi game kama hii ?Manchester United spend a lot of Money to keep Sancho on the bench , nimeamini hakuna utofauti wa Ole na Arteta even Van de beek alikuwa na kiwango bora kabisa leo anaishia bench
 
Arsenal kushinda vimechi mfululizo tayari mmeshajiona title contenders, unapata wapi ujasiri wa kuja kutoa ushauri hapa ? Ni sawa na ukuni uliopo darini unamcheka mwenzie jikoni !
 
Pogba benchi, sancho bench! Sasa bruno akiwekewa man to man sio timu imekufa maana hakuna mtengenezaji mwingine wa kueleweka!

Wao ndio wanajua team kuliko sisi ngoja tuone ubao utavyo soma baada ya 90min!

GGMU
 
Ole is an idiot coach pogba unamuwekaje benchi game kama hii ?Manchester United spend a lot of Money to keep Sancho on the bench , nimeamini hakuna utofauti wa Ole na Arteta even Van de beek alikuwa na kiwango bora kabisa leo anaishia bench
Unamfananisha ole na arteta kweli? Ama kweli dunia inaenda kasi sana!
 
Back
Top Bottom