Yaani panapovuja panaonekana bila kunyesha boss! SoshaAcha inyeshe tuone panapovuja
Yaani panapovuja panaonekana bila kunyesha boss! SoshaAcha inyeshe tuone panapovuja
Hiki ni kikosi cha ushindi.
Manutd 3 - 1 Liverpool
O2.5
BTTS
LIVERPOOL TO DOMINATE POSSESSION.
Solskier promised to dominate possession but Liverpool will dominate it
View attachment 1985497



Hata usipotia dua subiri mvua tu hapaDua langu leo nataka tupigwe tano
Usikimbie mkuu hahahahahahaSosha anatakiwa aondoke hiyo iko wazi kabisa japo wanafosi, kwaherini.
Acheni kumuonea Luke shaw na Ole.Magoli yote 4 yamepita kwa Luke Shaw
Eti kuna wanaomlaumu Bissaka, Bissaka akiwepo upande wake ni mgumu kupitika.Magoli yote 4 yamepita kwa Luke Shaw