Bao la pili maguire tena
Niliwahi sema humu huyu hata akiwa mzima zile blunder anafanya sana tu
Amka kama umelalaHiki ni kikosi cha ushindi.
Manutd 3 - 1 Liverpool
O2.5
BTTS
LIVERPOOL TO DOMINATE POSSESSION.
Solskier promised to dominate possession but Liverpool will dominate it
View attachment 1985497
Kudaadeki zenu. Mtaimba mapambiooAnachofanya ole ni Sawa tu na Gomez kumuacha nje Kennedy ...kitasa wa mipira ya juu na chini muda ambao anahitajika ......sijui huwa n ubaguzi ama ni nini shabbash.....
Siku ya hovyo sana Leo ....
Simba na manutd .......dah
Kosi la dunia linaoigwaje goal zote hizo????Hii mechi tunafungwa 4au 5.
pogba hakabi, hawezi jaza pressing players zaidi maana kuna bruno, greenwood, rashford, Ronaldo sasa Pogba alivo mzito ataeza kaba mtu kweli ulioa avyoanza na matic tukagongwa nne safi na Leicester... apo anaingiza pogba daika ya 60 huko azidishe playmaking
Fainal ya chelsea vs man city ulisema chelsea akishinda unatoa wewe na mke wako...Sijui kwanini naofu sana na game ya leo yani nikiiwaza tu moyo unaenda kasi sana yani.