Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cristiano Ronaldo on if he would consider retiring from international duty to help prolong his club career: “But why? I think it’s not my time yet. It’s not what people want, it’s what I want.“



“It’s when I feel that I’m not capable to run, to dribble, to shoot, if the power is gone… but I still have that stuff so I want to continue because I’m still motivated.”

manutd |
#GGMU
 
Huna unalolijua kuhusu football kaa pembeni mzee


Sijui Kama unaangaliaga mpira au unasubili live score ....


Note : hii ni kwa watu tunaoangalia mpira na kujua kuchambua Mambo tu
mbona unajikusanyia kundi kwa maneno kama (tunaoangalia) simama wewe kama wewe ulete takwimu zinazothibitisha kuwa arteta ni bora kuliko ole sio unabwabwaja
 
mbona unajikusanyia kundi kwa maneno kama (tunaoangalia) simama wewe kama wewe ulete takwimu zinazothibitisha kuwa arteta ni bora kuliko ole sio unabwabwaja
Nimesema arteta anaujuzi ....


Wacha kukaza kichwa
 
jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa nemanja vidic (ametimiza miaka 40), cha ajabu siku yake ya kuzaliwa imesongeshwa zaidi na mjadala unaomlinganisha dhidi ya virgil van dijk kwenye mitandao ya jamii si ajabu mpaka muda huu neno vidic limeendelea kutrends kwenye mtandao wa twitter.

Hii mitandao ya kijamii licha ya kutuunganisha kwetu pia imezalisha uraibu wa kubishana mambo yasiopaswa kuwekewa ubishani, yaani mchezaji aliyecheza vizuri kwa msimu mmoja analinganishwa na.....................licha ya hivyo huo msimu wake mmoja unaotumiwa kama reference aliocheza vizuri bado kitakwimu ameachwa kwa mbali sana na msimu mmoja tu bora wa mchezaji anayelinganishwa naye.
View attachment 1984158

kuna siku nilitembea page ya shaffih dauda nikakutana na huu upumbavu, wakati huko alikocopy muandishi wa hii makala alishaandika takwimu za patrick vieira hazina usahihi kwa sababu opta haikuwepo mwaka 2003, alivyokuwa mjinga naye akaanzisha mjadala bila ya kuweka indhari hiyo.
watoto wa dotcom wakaanza kumnajisi patrick vieira, eti vieira amefanya tackles 50 (labda vieira alikuwa na mguu mmoja)
E_byam0WUAk6UtR
Hii hata Mimi ilinifirisha sana nikakosa jibu
 
Fred ndo mtu mwenye uwezo zaidi as of now kwenye midfield yetu kwenye eneo la chini..na anacheza eneo lisilo lake..Fred alikuwa CM anayecheza juu kidogo.

Yuko sharp na anakaba kweli kushinda McTominay..

Tatizo lake kubwa kuna muda anapoteza battles au analeta errors ambazo zinaleta hatari.

Ole kibarua chake kikiwa hatarini hawezi kumuacha Fred nje..ndo mtu wa kwanza kuingia kwenye lineup yake i think.
Mapafu ya mbwaA Fred 17
 
Yani man saizi kila tukienda uwanjani kabisa inafahamika tunalusu goli sijui leo tutaruhusu goal ngapi.
 
Back
Top Bottom