Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli ameprove PL lakini shida ya baleba siyo kiwango, shida aina ya injury aliyonayo. Baleba anaweza asiwe na muendelezo wa fitness kwasababu ya majeraha, na hii itachangia sana kushusha kiwango chake. Mfano angalia De light na mazrawi, walikuwa na unjury record mbaya na kweli wamekuja utd tunaona kinachoendelea, siyo wachezaji wabaya ila hawatupi muendelezo wa mechi.

Nimesema kone kwasababu, kwanza siyo wachezaji wote waliosajiliwa kutoka Serie A walifeli, correction pogba hakudrop, ila overall perfomance ya timu ilikuwa mbovu na jinsi pogba alivyokuwa anatumiwa uwanjani, kone naye ameshaprove kwenye kila kitu, angsajiliwa utd angefanikiwa tu kwa muundo wa timu wa sasa.

Anyway hata mimi naomba majeraha yasimuandame huko Utd.
Hivi mkuu, unaweza kutuwekea hizo records za kuhatarisha au kushtua sana alizopata Baleba kwenye soka ?

Kwa ninavyojua mimi, siku nyingi kabisa amekuwa bench sababu ya injury ni approximately siku 30 hivi.
 
Ni kweli ilichukua misimu mingi ila kulikuwa na nidhamu ya usajili pamoja na malengo yanayo onekana.

Je malengo yenu ni yapi msimu huu? Kushiriki au kushinda?
Arsenal mlikuwa n nidhamu gani ya usajili jamani , embu acheni ujinga bwana.
Kina Pepe, Lokonga, Lacazete, Aub, Nk nk, takataka zilikuwa kibao.

Arsenal mmeanza kusajili vzri labda misimu mitatu iliyopita naeza kubali
 
Arsenal mlikuwa n nidhamu gani ya usajili jamani , embu acheni ujinga bwana.
Kina Pepe, Lokonga, Lacazete, Aub, Nk nk, takataka zilikuwa kibao.

Arsenal mmeanza kusajili vzri labda misimu mitatu iliyopita naeza kubali
Samahani hao uliowataja walikuja kabla au baada ya Arteta?
 
Manchester united wanakaribia kumsajili kiungo wa brighton carlos baleba. Huyu bwamdogo siyo player mbaya ila injury record yake kwa msimu uliopita ilikuwa inatisha, nafikiri ndiyo maana man utd walidanda kwa midfielders wengine.

Kabla ya kufanya sajili huwa scouts na boards wanafanya analysis ya mchezaji wanaemtaka interms of perfomance,injury records,intensity ya mchezaji kulingana na falsafa za klabu, pamoja na price.

Carlos baleba alikuwa na injury record mbaya na hii inanipa mashaka kama atakuwa na fitness ya moja kwa moja kutokana na kukosekana kwake uwanjani mara kwa mara, technical bench wanatakiwa kuhakikisha wanaboresha kiwango cha bwamdogo santos kwasababu dogo naona ana fitness sana kuliko baleba, ili baleba awe kama backup.

Man u wanafanya huu usajili kwa kuondoa lawama tu, bora wangeenda kutoa £70 kwa manu kone angalau ungekuwa usajili wa uhakika zaidi.
Huyo manu kone ndio rekodi yake ya majeruji inatisha zaidi. Baleba man u walimtaka tangu msimu jana. Waliacha ndala baada ya brighton kutaka paund milion 100.
 
Samahani hao uliowataja walikuja kabla au baada ya Arteta?
2019/20
Pablo Marí
Cédric Soares
Willian
2020/21
Gabriel Magalhães
Thomas Partey
Rúnar Alex Rúnarsson
Martin Ødegaard (loan)
Mat Ryan (loan)
2021/22
Ben White
Aaron Ramsdale
Martin Ødegaard (permanent)
Takehiro Tomiyasu
Albert Sambi Lokonga
Nuno Tavares
Auston Trusty
2022/23
Gabriel Jesus
Oleksandr Zinchenko
Fabio Vieira
Matt Turner
Marquinhos
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho
2023/24
Declan Rice
Kai Havertz
Jurrien Timber
David Raya (loan → permanent)
2024/25
Riccardo Calafiori
Mikel Merino
Tommy Setford
2025/26
Kepa Arrizabalaga
Martin Zubimendi
Christian Nørgaard

Tuonyeshe hiyo nidhamu, hao wa Arteta
 
Huyo manu kone ndio rekodi yake ya majeruji inatisha zaidi. Baleba man u walimtaka tangu msimu jana. Waliacha ndala baada ya brighton kutaka paund milion 100.
Yani mtu hafanyi hata utafiti kidogo, hivi anawajua wachezaji ambao ni injury prone huyu kweli, tunamuonesha mfano sasa kuna Mason huyu anaumia hata akiwa kwake tu bila kucheza 😅😅
 
Screenshot_2026-08-20-19-33-45-804_com.openai.chatgpt-edit.jpg
Screenshot_2026-08-20-19-31-47-912_com.openai.chatgpt-edit.jpg
 
2019/20
Pablo Marí
Cédric Soares
Willian
2020/21
Gabriel Magalhães
Thomas Partey
Rúnar Alex Rúnarsson
Martin Ødegaard (loan)
Mat Ryan (loan)
2021/22
Ben White
Aaron Ramsdale
Martin Ødegaard (permanent)
Takehiro Tomiyasu
Albert Sambi Lokonga
Nuno Tavares
Auston Trusty
2022/23
Gabriel Jesus
Oleksandr Zinchenko
Fabio Vieira
Matt Turner
Marquinhos
Leandro Trossard
Jakub Kiwior
Jorginho
2023/24
Declan Rice
Kai Havertz
Jurrien Timber
David Raya (loan → permanent)
2024/25
Riccardo Calafiori
Mikel Merino
Tommy Setford
2025/26
Kepa Arrizabalaga
Martin Zubimendi
Christian Nørgaard

Tuonyeshe hiyo nidhamu, hao wa Arteta
Bro ni stori ndefu sana nikianza kukuelezea na vile umekuja kwa jazba pamoja na fikra zako kichwani itakuwa ngumu kukuelezea.

Ni kweli sajili zimefanyika na sio mara zote utegemee mtu atafit vile ulivoplan kwenye kikosi.

Nidhamu niliyoongelea ni kwamba,
Arteta ni mpenzi wa total football.

Arteta aliweka bayana kuhusu vile angeweza kukijenga kikosi kwa hatua (phases). Alianzia na ulinzi na viungo na Sajili kadhaa za wazee kama akina Zin, Jesus, Willian n.k hizi zilikuwa kwa ajili ya kujenga leadership kwenye kikosi. Mwisho wa phase kamalizia na attackers. Matokeo yake nadhani unayajua.

Turudi kwenu mimi niliongelea sajili zenu kwasababu Sioni matajiri wenu wakimpambania Carrick kuboresha kikosi, ila kwasababu hata nyinyi mashabiki mmeridhika na msimu nusu ulivoishia mimi ni nani niwaambie otherwise?.
 
Acha mambo ya ajabu bhana timu yenye malengo inafunga magoli ya set piece tu. Ndio maana tuliwachakaza na hata EUFA pia mlipigwa na legue mlichukua tu kwa uzembe wa man city la sivyo mngeondoka patupu tu. Hivyo msijisifu sana mkadhani mmekamilika.
Nyumba bana, unasema Arsenal tulichukua ubingwa kwa uzembe wa City kwani nyie nyumbu mlikuwa wapi wakati huo😂

Msimu mpya unaelekea kuanza ikifika December mtaacha kusupport team zenu muishabikie tena city iizuie Arsenal kuchukua ubingwa.
Mtateseka sana
 
Nyumba bana, unasema Arsenal tulichukua ubingwa kwa uzembe wa City kwani nyie nyumbu mlikuwa wapi wakati huo😂

Msimu mpya unaelekea kuanza ikifika December mtaacha kusupport team zenu muishabikie tena city iizuie Arsenal kuchukua ubingwa.
Mtateseka sana
Watuweke wazi malengo yao mwaka huu ni yapi.?
 
Hivi mkuu, unaweza kutuwekea hizo records za kuhatarisha au kushtua sana alizopata Baleba kwenye soka ?

Kwa ninavyojua mimi, siku nyingi kabisa amekuwa bench sababu ya injury ni approximately siku 30 hivi.
Kwa bahati mbaya sina orodha kamili ya mechi alizokosa kwasababu ya injury ila nilimfatilia sana kwasababu tulimkosa, but uhakika ni kwamba alikuwa anacheza mechi kadhaa then anaenda injury kumbuka baleba ana injury ya enka, kama umewahi kucheza mpira utaelewa kwamba injury ya enka ni miongoni mwa injury mbaya kwa mchezaji yoyote.

Kwahiyo wasiwasi wangu ni kwamba anaweza asionekane uwanjani mara kwa mara, labda itokee apate full recovery na asijitoneshe enka, ni mchezaji mzuri, mfano mzuri muangalie mason mount🤔
 
Back
Top Bottom