bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Hamtakuja kusahau mamake.. #this is liverpool
Mkuu huu ni mpira tu huna haja ya kutukana watu. Kuwa mtu mzima.Hii timu ya man u Kuanzia uongozi, wachezaji mpaka mashabiki wana tabia ya umalaya umalaya.
Shule ulienda kusomea ujinga? Wapi pameandikwa gemu inaendelea?Hata usemeje game limeshaisha 5 bila
Tatizo cocha acheni kulaumu wachezaji.Yule ole sendeka kazi yake nini, kufeli kwa timu ni kocha, msijitie ufahamu Manu fansManguire ni tatizo kubwa sana,kibaya zaidi bei tuliyotoa na kiwango chake havina uhusiano.
Hawezi kufukuzwa ana saidiwa na class of 92 halafu hawasemi vibaya wamarekaniKilichobaki ni kesho tukutane na breaking news otherwise matokeo haya yataendelea kutuandama sana.
Fikiria kama Leceister anatupiga nne wengine hawa ilikuwa ni zaidi.
Team ipo exposed sana tena sana sijui kama huwa wanafanya mazoezi.
Saiv sioni timu ya kuifunga kwa ile beki ya shaw na maguire yaani mech zote za vichapo na magoli humkosi shaw na maguire hapa maneno ya muorinho kwa shaw yanaishiKocha tatizo nyie mashabiki wa Manu, kama hamuamini muacheni ole hadi mech totemuone aibu mtakayopata.Wiki ijayo msiposhinda mnaingia below 10 mark mi words
Hawezi kufukuzwa ana saidiwa na class of 92 halafu hasemi vibaya wamarekani
Kabisa yaaniNafasi ya 4 mwaka tutaisikia.
Ulikuwepo OT?Yani Sasa hivi timu yetu ni matope haswaaa,hamna kitu Yani leo hii ndo Mara yangu ya Kwanza kuangalia mechi ya man u live kabisa,sijui kwann Leo imeniangukia hovyo hivi...
Povu la Nini 😂😂😂Shule ulienda kusomea ujinga? Wapi pameandikwa gemu inaendelea?
Utie Eric na Dalot wa Nini huku Liverpool wamekuheshimu mkuu😂😂.Liverpool wametuheshimu sana baada ya kutupiga mkono walikuwa wanauwezo wa kutuchomoa kwenye kale ka bus uchwara tulikoweka na kutuchapa hata 8 baada ya pogba kupewa umeme kifupi hamna kocha hapa
Kadi ya pogba siwezi kumlaumu kocha bado anabeba lawama kwa ile sub ya kipuuzi ushaliwa nne kipind cha kwanza unataka nn kwa mtu alikuzidi kila kitu?
Mm ningetia bailly na dalot tu
Manchester united mngekuwa na uwezo mngeshinda Leo ili The Blues aendelee kuongoza ligi. Sema tu kwa vile nyie ni vilaza mtatandikwa mpaka mjikojolee.





Kweli mkuuSema kufungwa na Liverpool nyumbani inauma sana.
Wewe kumbe sio shabiki wa kweli, huwezi ikimbia nyumba yako iteketeeHii timu inatia aibu sana, kuanzia leo sitashabikia hii timu mpaka kocha aondoke mana haiwezekani una kikosi kama hiki na bado hueleweki unacheza nn, so mashabiki wa man u kwaherini mpk huyu mbwa wa double pivot akiondoka.


