Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wadau wa Manchester United,hili suala la kukosa clean sheet karibia mechi zote tulizocheza linasababishwa na ubovu wa wachezaji wa United kwenye kuzuia au mfumo ( kocha) kwenye suala husika?
Yaani siku hizi kila mechi unatarajia kufungwa walau goli na ndio imekuwa kama utambulisho wetu halafu tunajisifia kuwa ni kings of comeback!
Kuna wakati huwa namuonea huruma De Gea hadi natamani tuwe tunapata droo za 0-0 kuliko kushinda 3-1.
Ni kweli ila ukiondoa ubovu wa Ole, clean sheets sio big deal sana. Kwa upande wa golikipa ubora wake haupimwi kwa clean sheets pekee bali ni uwezo kuzuia idadi ya mipira inayopigwa langoni kwake. Kuna golikipa anaweza kuwa na clean sheets 20 ktk michezo 38 ila zilipigwa shots on target 20 hizo hizo.

David amecheza misimu 9 EPL kati ya hii amechukua tuzo ya golikipa bora wa msimu mara 5 na golden gloves (top clean sheets) ni mara 1 tu. Ili timu ibebe ubingwa wa EPL inahitaji ifunge magoli 76 na iruhusuhu magoli 38. Hapa ni wastani wa goli moja ktk kila mchezo timu inayoruhusu kufungwa.

Kitu cha msingi ktk kushinda long marathon kama EPL ni winning consistency regardless ya idadi ya magoli unayoruhusu. Binafsi kinachonifanya nimuone Ole ni mtu anayetupotezea muda hana winning consistency kitu ambacho kinakupa ubingwa tunandosha points michezo ambayo hatupaswi kudondosha. Mpaka sasa kwa fixtures tulizoanza nazo tulipswa tuwe na 18 points so far.
 
Dah mkuu hata kama huipend United lkn sio kwa kusema team yote mbovu...ni kwl hawa washenz wanaongea sana lkn wana kikosi kzr msimu huu..sema ndo vile upele umuota asiye na kucha
Tukisema kikosi Bora we mean total performance of whole team ,, hii timu inacheza kiwango Cha chini Sana ,, check villareal ilivyomtoa jasho pepo mwekundu..
 
Kwanini asianze alafu tukishapata matokeo ndo atoke? Huoni ni risk sana kumuingiza timu ikishazidiwa anakua under pressure
Kumuweka Cavani sehemu ya Ronaldo mimi naona ni kama vile hujabadilisha kitu. Wote wana uwezo mzuri wa kufunga wanapopata nafasi tena kwa umri wao wa sasa hivi Cavani ana-offer vitu vingi kule mbele hasa ile mikimbio yake.
 
Dah mkuu hata kama huipend United lkn sio kwa kusema team yote mbovu...ni kwl hawa washenz wanaongea sana lkn wana kikosi kzr msimu huu..sema ndo vile upele umuota asiye na kucha
bado sio kizuri mzee Kwenye kikosi Chao wachache ndo wanawaharibia....hao kina Fred vunjabei mpk kutuliza mpira au kutoa pasi kipengele ....bissaka sio mzuri offensively....wengine incosistence kina pogba
 
Screenshot_20211002-141932.jpg
 
Back
Top Bottom