Siyo kweli! Mwalimu tu anafeliMlipokuwa mnang'ang'ana na kumsajili Sancho na CR7 bila kuipa kipaumbele DM ndio madhara yake haya, kinachotofautisha Chelsea kwa mfano na Manure ni mambo mawili makubwa
Liverpool pamoja na uzuri wao walishindwa kutufunga tukiwa pungufu
- Kiungo mkabaji au viungo wakabaji
- Kocha mwenye uwezo wa kujua mechi na kuweka silaha zinazoendana na mechi
Ingekuwa ni ninyi mngejazwa 5
Young Boys timu isiyokuwa na wachezaji wazuri wala wazoefu inawapa shida hivi
Again, nawaona mkielekea kwenye Europa league ndio saizi yenu
hahaha naomba uniache mkuu leo hata simuongelei Ole kabisa maana wazee wa statistics hawachelewi kuja.Kikosi kizito kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Yan ndo ujue binadamu tuna roho mbaya sana ..yani wanatak ole afukuzwe na familia yake ikale wapi sasa..Huyu kocha aendi popote sisi man u yetu tunaijua ,kufungwa kwa leo lazima mbeleni kutajibu tu ,ole shikiria hapo hapo hata wewe una familia
Huyu ndiye mr sosha ninayemfahamu
HahaaaaaaaHapo mkishinda mechi moja tu na ubingwa mnajipa kabisa hahaha
Kubali kwamba walikuzidi uwezo. Kilaza ni wewe nyumbu united.Msimu uliopita tulitoka hatua ya makundi kizembe plus kufungwa na wale vilaza instanbul baseksehir.
Wanafanya mtoto wa watu anatesekaHii Timu ya ovyo Sana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1938026
Ivi hii si walijitangazia juzi baada ya kumfunga nyukasto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ole atafanya maajabu msimu huu, tutabeba uefa na EPL kwa pamoja.
NB: EPL na uefa ya buza
Hahahaha tena walieka na neno unbeaten ..yani watabeba bila kupigwa game ata mojaIvi hii si walijitangazia juzi baada ya kumfunga nyukasto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wapuuzi View attachment 1938413
Kocha alikuwa Nani? Na sasa hivi kocha ni Nani?Unakumbuka kwamba mara ya mwisho tunawakula pale Stanford Bridge goli la kwanza alifunga Martial akipewa pasi ya upendo na Bissaka na bao la pili aliwapiga captain mwenyewe Harry Maguire.
Young boys wamewaacha waongoze kwa red card tu[emoji23]
Hahahaha tena walieka na neno unbeaten ..yani watabeba bila kupigwa game ata moja
Olesendeka atashinda kagame kamoja kuwasahaulisha..
Wako wakulima tu, usijifanye huelewiYoung boys hainawachezaji wazuri....?
Wachezaji wazuri ni wachezaji wapi/ wa aina gan. Or unamaanisha wachezaji maarufu....?
goli tatu hazikosekani hapa