Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho ok ngoja nimpe mechi 10 tuone maana ananitia wasiwasi, Mechi ishakua ngumu bissaka ametuuza mchana kweupe.

CR7 [emoji91] huyu huwa haitaji kuzoea ligi ni kazi kazi kama hayupo ukistuka nyavu zinatikisika. Greenwood mkali wangu nataka kumuona humu awape amsha amsha kidogo.
 
Back
Top Bottom