John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Kwa kweli hata Sisi tunaonaVARANE anaingia hakuna wasiwasi.

Kwa kweli hata Sisi tunaonaVARANE anaingia hakuna wasiwasi.

Sijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.Hii sub gani sasa dah
Sosha anaomba urafiki
Unamtoa ronaldo halafu unaanza kujieleza kwake ili iweje![]()
Dah! Hamna mwalimu hapa jaman
Huyu mbwa afukuzwe kesho asubuhi, kwnn hawataki kutuelewa mashabiki.Bado hajafukuzwa tu
Ameifanya game kuwa ngumu, Young Boys washajiamini sasaSijawahi kuona kocha muoga kama sosha, una kikosi kipana, mechi ya watoto kama hii anapotoka mchezaji kwa kadi nyekundu wewe tia kuni, nilitegemea angemtoa vdb aingie Greenwood lkn yeye akatoa kiungo ameweka beki mana ake anawaogopa hawa watoto wadogo licha ya kuwa na kikosi kipana, sio kocha c lolote mbwa huyu.
Eti kawafundisha wachezaji wapoteze mudaAmeifanya game kuwa ngumu, Young Boys washajiamini sasa





Kweli kabisa mkuu.Ronaldo atamfukuzisha kazi sosha
Young boys:Hold my beer