Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Exclusive with CR7
Mkuu, najua kwenye hizi analysis kuna element kubwa ya emotion wakati wote, lakini I will take you by your own words.Ulichoongelea hapa ni emotions na sio data. Nasubiria hizo data.
Na epl sio la liga ama Ligue 1, kuna competition kubwa.
For Comparison ole ame oversee transfer 3 mpaka sasa, 2019/20, 2020/21 na 2021/22
Wachezaji almost wote aliowasajili wamekuwa instant hit the only exception ni VDB na yeye pia bado mapema kusema ni investment mbaya. Na for the first time baada ya miaka kadhaa tunauza kwa Faida usajili wa James. Bado Unahisi ole anapoteza Hela za club.
Siweki data za Timu kubwa kama Man city na Chelsea, Angalia tu timu ndogo kama Everton, Leicester na Aston Villa.
Aston Villa
-msimu huu wamespend 105m
-msimu uliopita wamespend 101m
-msimu wa juzi wamespend 159M
Toka ole awe kocha zaidi ya 360M Euros Aston Villa wamespend
Sisi sasa
-msimu huu 140 tumewapita 35
-msimu uliopita 83 wametupita 18
-msimu wa juzi 234 tumewapita 75
Hivyo ndani ya miaka 3 utofauti wetu na Aston Villa ni mdogo sana, ila compare wachezaji wetu na wao.
Ligi ya uingereza sasa hivi si mkubwa si mdogo timu zina hela sana na zinaspend sana.
Kuhusu ushindi wa wolves mkuu sijui unashabikia man U ipi wewe.
Dakika za lala salama ilifika stage mpaka zinaitwa Fergie time, Man u ni timu maarufu sana ku scramble matokeo dakika za mwisho, ipo kwenye DNA, hata hio Man u kali ya 99 ilipigiwa mpira balaa na bayern kama dakika zote, dakika za Majeruhi tukapindua meza.
Fergie na uwezo wake wote alikuwa akiwin Ugly Mara kibao tu, nimeshashuhudia ule msimu vidic Anakuwa mchezaji Bora Epl mechi kibao zina Isha 1-0 dakika za Majeruhi vidic anatuokoa.
Even klop anabeba ubingwa walikuwa na mbeleko si ya dunia hii, wanacheza wengine wanashinda wao.
Epl si LA liga ama ligi ya Ufaransa ushinde goli 5 ama 6 mpaka unabeba ubingwa, lazima kuwe na mechi uforce king.
Mkuu, najua kwenye hizi analysis kuna element kubwa ya emotion wakati wote, lakini I will take you by your own words.
Kuhusu wastage of money.
Kusema kwamba tumespend kidogo kuzidi Aston villa kwa kipindi cha miaka hii mitatu ni upotoshaji. Nazichukulia hesabu zako kama ulivyoziwakilisha ila naongezea omission uliyofanya.
Msimu Juzi.
1. Tuliwapita 75M lakini in average terms tuliwazidi by 47%.
2. Wao walisajiri wachezaji 14 sisi 5. Maanake Average spending yao msimu juzi Ilikuwa 11.3M na sisi 46.9M a gap of 35.5M sawa na 312.4% yaani in average tuliwazidi expenditure per head kwa asilimia mia tatu kumi na mbili.
3. Hao wachezaji 14 waliosajiliwa na AV kwa mwaka jumla ya mshahawa wao ni 4.4M wakati hao wa MU ni 31.5M a difference of 610.6%
Can YOU Imagine yourself claiming our expenditure difference is quite small??
Fumbua macho yako, hata bila kuangalia expenditure per head, tunawazidi villa year on year, acha mahesabu ya kudonoa donoa.Kwa logic yako sababu Aston villa wamesajili wachezaji wengi wametumia hela Kidogo? Mwisho wa siku total expenditure ndio ina mater. Hicho ndio kiasi ambacho kimetoka mfuko wa club.
Na wachezaji wote Aliosajili Ole wamekuwa key players kwenye timu yetu.
Mfano beki yetu ya kati ni
Bissaka, maguire, varane, Shaw.
Kwenye hii beki ni shaw Peke yake ndio sio mchezaji wa Ole ila huo ukuta ni Ole ametengeneza.
Mechi ya Wolves mbele kuna Greenwood, Bruno, James na Sancho wote ni usajili/promotion ya Ole.
Hivyo ndio sisi tumesajili wachache ila ni key Players, wakati Aston Villa wamesajili wengi ila wanaokoteza tu na kuharibu hela.
Na nime quote miaka 3 intentionally Ume ignore huko kwengine ambako Aston Villa wametu out spend.
Na fact kwamba tunaweza ku argue spending ya Aston Villa na Man utd tayari inaonesha jinsi gani Epl inavyo spend na Ole by far has pend sana kama makocha wengine. Even Poor Arsenal wamesajili kushinda sisi msimu huu.
yeah sababu ligi ina match moja? na sababu hatumpendi ole hata tukiwa na cleansheet tutafute visababu vya kumkandia, vipi unazungumziaje huo ukuta mbovu wa ole kutoa assist ya goli? hizo timu nyengine kuta zao nazo zilitoa?Fumbua macho yako, hata bila kuangalia expenditure per head, tunawazidi villa year on year, acha mahesabu ya kudonoa donoa.
Huo ukuta unaousifia, ni Pesa tunazozungumzia zimetumika kuujenga, lakini OLE anauongezea UALIMU gani? the first time our complete dream defence imekuwa fielded angalia kilichoutokea.
mechi yetu na wolves (namna tulishambuliwa)
Shot on target 6, shots off target 6, Blocked shots 3, corner kicks 5.
Angalia defence za wenzetu. (Agaist their defence lines) same weekend.
Tottenham : Shot on target 2, Shot off target 2, Blocked shots 4, Corner kicks 3
Man City : Shot on target 0, Shot off target 2, Blocked shots 0, Corner kicks 0
Leave out chelsea v/s Liverpool.
A. Villa : Shot on target 0, Shot off target 2, Blocked shots 0, Corner kicks 0
I agree with you, ni OLE Pekee anayeza jenga ukuta dhaifu namna hii, yaani ninaamini sana huo ukuta unaweza kuwa bora
zaidi ukiwa hauna kocha kuliko sasa ukiwa na OLE.
Mwisho. kwa nini unakwepa kusema OLE ndio aliyemsajiri James?
Katika hizo mechi 28, alishinda ngapi? Liver alishinda ngapi nje? city alishinda ngapi nje?yeah sababu ligi ina match moja? na sababu hatumpendi ole hata tukiwa na cleansheet tutafute visababu vya kumkandia, vipi unazungumziaje huo ukuta mbovu wa ole kutoa assist ya goli? hizo timu nyengine kuta zao nazo zilitoa?
wolves wanatusumbua hilo linajulikana, mara ya mwisho utd kumfunga wolves goli difference zaidi ya moja ni 2012, toka Fergie ni kocha, Si mou, si Ole wote walikuwa wakiwafunga Wolves kwa Tabu.
na hizo data ulizoweka again una cherry pick, nikukumbushe tu MAn city kafungwa community shield na amefungwa na spurs, ameshapoteza mechi 2 kati ya 4 msimu huu. at same time sisi tumevunja record ya miaka zaidi ya 100 toka ligi ya uingereza ianzishwe mechi 28 mfululizo ugenini bila kupoteza, ila sababu hate yako thidi ya Ole hutaona chochote unacherry pick.
na msimu huu haters wa ole mtapata tabu sana, mark my words.
Mkuu, unachuki na Ole mpaka inaonekana waziwazi.Ule msimu juzi, tulifungwa goli 36, moja zaidi ya Man City, na tatu zaidi ya Liverpool.
Msimu jana tukafungwa goli 42, defence line ile ile, kocha yuleyule, goli 10 zaidi ya Man City, 2 zaidi ya liverpool na wakiwa bila ya beki wao mahili. na 8 zaidi ya chelsea ambao msimu juzi walifungwa goli 54, goli 18 zaidi yetu.
Namna hii tunasemaje OLE anajenga defence line?
Timu yetu ina collection ya wachezaji bora kuliko man city na liver, toka msimu jana. we deserve better.Mkuu, unachuki na Ole mpaka inaonekana waziwazi.
Sio kwamba ole ni mbovu ila wewe Unatamani Man U ingecheza kama Man City na Liver jambo ambalo halitotokea kamwe.
Mkuu hizo record unazozitaja hazi-make sense kama United itaendelea kuwa msindikizaji,rekodi tuliyovunja walikuwa wanaishikilia Arsenal ,waliweka rekodi na kuchukua ubingwa bila kufungwa mechi hata mmoja.Man City anaweza akafungwa mechi 2 au tukamfunga mechi zote lakini mwisho wa msimu anabeba at least makombe 2 sisi tunaendelea kujivunia kumfunga.yeah sababu ligi ina match moja? na sababu hatumpendi ole hata tukiwa na cleansheet tutafute visababu vya kumkandia, vipi unazungumziaje huo ukuta mbovu wa ole kutoa assist ya goli? hizo timu nyengine kuta zao nazo zilitoa?
wolves wanatusumbua hilo linajulikana, mara ya mwisho utd kumfunga wolves goli difference zaidi ya moja ni 2012, toka Fergie ni kocha, Si mou, si Ole wote walikuwa wakiwafunga Wolves kwa Tabu.
na hizo data ulizoweka again una cherry pick, nikukumbushe tu MAn city kafungwa community shield na amefungwa na spurs, ameshapoteza mechi 2 kati ya 4 msimu huu. at same time sisi tumevunja record ya miaka zaidi ya 100 toka ligi ya uingereza ianzishwe mechi 28 mfululizo ugenini bila kupoteza, ila sababu hate yako thidi ya Ole hutaona chochote unacherry pick.
na msimu huu haters wa ole mtapata tabu sana, mark my words.
Si kweli.Timu yetu ina collection ya wachezaji bora kuliko man city na liver, toka msimu jana. we deserve better.
Kiukweli hamna uwezo wa kushinda makombe makubwa msimu huuTunaweza kushinda makombe yote mwaka huu ila tukawa ni watu wa huzuni bado.
Timu pekee iliotupita ni Man City msimu uliopita na naamini tungeanza msimu vizuri, tunge compete nae mpaka mwisho.Katika hizo mechi 28, alishinda ngapi? Liver alishinda ngapi nje? city alishinda ngapi nje?
Ndani ya mechi 3 za kwanza msimu uliopita tumeconcede goli 11, hili lilitokana na timu kutokuwa na pre season wakati wenzetu walikuwa na pre season. Chukulia context ya hayo magoli 42 bila kuwa na bias, utaona defense yetu ilikuwa much better, then mwisho wa msimu maguire alivyoumia tuka Concede tena magoli ya kutosha.Ule msimu juzi, tulifungwa goli 36, moja zaidi ya Man City, na tatu zaidi ya Liverpool.
Msimu jana tukafungwa goli 42, defence line ile ile, kocha yuleyule, goli 10 zaidi ya Man City, 2 zaidi ya liverpool na wakiwa bila ya beki wao mahili. na 8 zaidi ya chelsea ambao msimu juzi walifungwa goli 54, goli 18 zaidi yetu.
Namna hii tunasemaje OLE anajenga defence line?
Unahitaji mahala PA kuanzia lakini, na kila mtu a naona progress kwenye timu yetu unless tu hutaki kuziona.Mkuu hizo record unazozitaja hazi-make sense kama United itaendelea kuwa msindikizaji,rekodi tuliyovunja walikuwa wanaishikilia Arsenal ,waliweka rekodi na kuchukua ubingwa bila kufungwa mechi hata mmoja.Man City anaweza akafungwa mechi 2 au tukamfunga mechi zote lakini mwisho wa msimu anabeba at least makombe 2 sisi tunaendelea kujivunia kumfunga.
Kwa support aliyopewa OGS anapaswa kuchukua ubingwa ,the problem uwezo wake ndio unatia shaka,
OGS kuni-prove wrong mimi ni yeye kuchukua ubingwa otherwise sijaona alicho-achieve ambacho wenzake walifukuzwa hawakukifanya ukilinganisha na fedha ambayo amepewaUnahitaji mahala PA kuanzia lakini, na kila mtu a naona progress kwenye timu yetu unless tu hutaki kuziona.
Na kama support ndio kigezo cha ubingwa by Far Chelsea na Man City Wana support na depth kubwa, na liverpool ni debate.
Msimu uliopita muda kama huu tulikuwa tunabishana kuhusu matokeo, nikakuambia kwamba ni sababu ya pre season ila ukawa una argue ole uwezo mdogo, ame kuprove Wrong karibia msimu mzima, ..
Kwa expectation, kikosi chetu na investment zetu tulitabiriwa ku maliza nafasi ya 4 mwisho wa siku tukawa wa 2.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ole ametengeneza competitive squad, kikosi cha vijana wenye njaa ya makombe na kuondoa wazee wanamaliza mda na kuona Man u kama sehemu ya kuchukulia pension.
Leo kHabib ameongea Ronaldo toka mwezi uliopita alimwambia a naenda Man utd, Cavani, Sancho, Varane, Maguire wote hawa walikuwa ni wachezaji wanagombaniwa na wangeweza kwenda Kokote kwanini waje kwa Kocha mbovu asieweza kuchukua makombe?
Ujio wa Verane lazima umfanye achangamke the same kwa Shaw alivyokuja Telles.Lindelof again View attachment 1921711
Atachangamkaje wakati atakuwa sio first choice for the most of the time?Ujio wa Verane lazima umfanye achangamke the same kwa Shaw alivyokuja Telles.