Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole ana misimu miwili full, na huu wa tatu.

Na hoja ya juu ilikuwa specifically kwa Ole, na sio timu na vikombe,
Mkuu unavosema ole anazifunga big six ,kwa iyo aachwe anauwezo unajidhalilisha tu ....

Ole sio kocha wa kuwapa epl waka CL ,haihitaji degree kujua hilo,tatizo mmekaza ubongo ...

Hana consistency ,tactics ...

Ole akipewa match 6 awin ili achukue epl hawezi ,trust me ....
 
1. Umesema Hana Consistency, naomba uniambie Kocha asie na consistency anaweza kuvunja Record ya Ligi ya uingereza toka ianzishwe kwa kucheza mechi 28 za ugenini bila kufungwa?

2. Hilo la tactics sasa ndio nililojibu juu, huwezi ukawa hujui tactics then ukawa una positive results against top 6, hujui tactics ukawa unamfunga pep kila siku, hujui tactics umfunge Chelsea 4, hujui Tactics umfunge klop, hizi ni mechi ambazo ukikosea kidogo tu imekula kwako.

Msimu huu tumeanza vizuri, Tegemea tu Maumivu,
 
Timu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,

Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.

Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.

Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Bado hajafukuzwa tu
 
1630507663116.png
 
saul angekuwa bora asingetolewa kwa mkopo huko alikotoka
wiki moja nyuma nilikuwa mitaa ya reddit subthread ya soccer na kuna mashabiki takribani wanne wa atletico madrid walikuwa wanamjadili huyo bwana saul, wote wanne walikuwa wanazungumza maneno yenye kufanana juu ya performance na mustakabali wa saul kwa hii miaka miwili.
  1. kwanza saul amekuwa akichezeshwa nje ya position yake na elcholo
  2. kwa miaka hii miwili kiwango chake kimeporomoka labda sababu ndio hiyo ya kutokuchezeshwa eneo husika, sijui kama hata timu ya taifa ya spain ameitwa kwenye michuano ya euro
 
Uzuri wa Saul ni Kiraka kama Oshea, midfield kulia, kushoto, katikati, beki za pembeni, ukabaji, ushambuliaji etc.

Mchezaji mzuri sana kwa Benchi, anacover kila eneo.
 
sijawahi kumuona kwa siku za karibuni(nimekuwa mvivu wa kufuatilia la liga)
chelsea wamelipa euro millioni kama ni ada ya mkopo na pia kuna kipengele cha kulipa euro millioni 40 za usajili kama nitakuwa sahihi,

kwako wewe unaionaje biashara hii kama ingelikuwa kiupande wetu (unadhani klabu imefanya makosa kupuuzia dili lake tena kwa mkopo)
tactical huyu saul angelitupa msaada gani tunaouhitaji ambao tunaukosa kwa sasa kwa hawa wachezaji tulionao?

hiyo sentensi ya chini tufanye sijaisoma
 
Ngumu swali kujibu bila kujua Kocha ana mpango gani na VDB,

Kwenye ulimwengu mwengine Saul anacover Majeruhi ya Mc tominay, badala ya Kuanza Matic/Pogba kwenye Double Pivot anakuwepo Saul.

VDB kabebeshwa chuma kweli, pengine anakuja Kucheza CM msimu huu, maana naona wameblock mpaka Deal la mkopo asiondoke.
 
Timu isio na Kocha
-imemfunga pep mfululizo miaka 3 pale Etihad, mechi 5 zilizopita za league tumemfunga Man city Mara 4 kapata draw moja, pep huyu anaewaonea wengine kwenye league kwa Ole anakuwa kama mtoto tu, hata akiwa kwenye Form.
-Timu isio na Kocha ina record nzuri vs top 6, ukitoa Arsenal, kina Chelsea, Liverpool, spurs, Man city, leicester na timu zote kubwa Huwa tuna record nzuri against them
-even ulaya Mara 2 mfululizo against psg tulikuwa better team,

Ole Ameprove time to time Tactics zake kuwafunga vigogo, kwenye ligi tumetoka nafasi ya 6 mpaka ya 3, toka 3 mpaka 2, tumeanza nusu cup competitions msimu juzi, mpaka final msimu uliopita, kila eneo unaona improvements ndani na nje ya uwanja.

Eneo pekee ambalo tulikuwa na bado ni wabovu ni against low Block, timu zinazopaki basi, nazo pia tume improve msimu wa juzi tulistruggle sana msimu uliopita tukawa na uafadhali na hata msimu huu kuna hopes fulani, kushinda kwa kulazimisha mfano mechi iliopita.

Na Tukiwa na wachezaji caliber ya Ronaldo na Cavani ni rahisi kushinda against low Block hasa vile walivyo wazuri kwa mpira ya kichwa.
Ngoja nichukue complete data nireview mwenyewe. For the time being naomba ukumbuke, man u sio chelsea, we very much care how we win our games, winning games like the way all the world media are reporting as stealing the win this weekend is not acceptable. not at all.

& with the quality of players the club has invested into, the route source of these embarrassment is none but Ole.

most of good things associated with our club are in the courtesy of Clubs Financial Position. After Real Madrid and Barcelona decisive actions to strip their wage bills by letting go of expensive players, Our Club must have taken the lead. You could think our strategy has turned into buying trophies, but none is coming.

OSG is neither a leader nor a Manager, he is a wasteful person, he wastes club's money and the player's talents.
 
Ulichoongelea hapa ni emotions na sio data. Nasubiria hizo data.

Na epl sio la liga ama Ligue 1, kuna competition kubwa.

For Comparison ole ame oversee transfer 3 mpaka sasa, 2019/20, 2020/21 na 2021/22

Wachezaji almost wote aliowasajili wamekuwa instant hit the only exception ni VDB na yeye pia bado mapema kusema ni investment mbaya. Na for the first time baada ya miaka kadhaa tunauza kwa Faida usajili wa James. Bado Unahisi ole anapoteza Hela za club.

Siweki data za Timu kubwa kama Man city na Chelsea, Angalia tu timu ndogo kama Everton, Leicester na Aston Villa.

Aston Villa
-msimu huu wamespend 105m
-msimu uliopita wamespend 101m
-msimu wa juzi wamespend 159M

Toka ole awe kocha zaidi ya 360M Euros Aston Villa wamespend

Sisi sasa
-msimu huu 140 tumewapita 35
-msimu uliopita 83 wametupita 18
-msimu wa juzi 234 tumewapita 75

Hivyo ndani ya miaka 3 utofauti wetu na Aston Villa ni mdogo sana, ila compare wachezaji wetu na wao.

Ligi ya uingereza sasa hivi si mkubwa si mdogo timu zina hela sana na zinaspend sana.

Kuhusu ushindi wa wolves mkuu sijui unashabikia man U ipi wewe.

Dakika za lala salama ilifika stage mpaka zinaitwa Fergie time, Man u ni timu maarufu sana ku scramble matokeo dakika za mwisho, ipo kwenye DNA, hata hio Man u kali ya 99 ilipigiwa mpira balaa na bayern kama dakika zote, dakika za Majeruhi tukapindua meza.

Fergie na uwezo wake wote alikuwa akiwin Ugly Mara kibao tu, nimeshashuhudia ule msimu vidic Anakuwa mchezaji Bora Epl mechi kibao zina Isha 1-0 dakika za Majeruhi vidic anatuokoa.

Even klop anabeba ubingwa walikuwa na mbeleko si ya dunia hii, wanacheza wengine wanashinda wao.

Epl si LA liga ama ligi ya Ufaransa ushinde goli 5 ama 6 mpaka unabeba ubingwa, lazima kuwe na mechi uforce king.
 
Back
Top Bottom