Ole atabeba kikombe na Man U lini? mbona amna dalili au malengo ni top 4; mbona Van Gal na Mou walikuja muda mfupi na kubeba vikombe?
Kikosi hiki cha Man U kinaizidi kile cha Sir Alex cha akina Anderson na Luis Nani lakini alibeba EPL.
Man U wamekosa kabisa wanaofanya accessment ya kocha.