D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
chanzo: mumuppetiers
kwa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili inayotokanwa na uelewa wangu dhaifu wa lugha ya kiengereza
========================
inaonekana kuna ukosefu wa uelewa miongoni mwa mashabiki wa manchester united juu ya njia sahihi ya kutibu kikwazo kilichopo cha midfields, wengine wanapendekeza majina ya wachezaji mfano wa ruben neves, camavinga, Wilfried Ndidi na hata tanguy ndombele.
wengine wanakwenda mbali zaidi kwa kupendekeza majina ya baadhi ya wachezaji waliopo ndani ya kikosi kufanyiwa mabadiliko ya position za kiuchezaji kwa kuhamishiwa eneo la midfield, mfano wa wachezaji hao ni lindelof, wan bissaka na hata telles. However upande wa benchi la ufundi likiongozwa na solskjaer na uongozi wa klabu wameonekana kuridhika na hali iliopo ya midfield licha ya kuwepo kwa haya malalamiko ya kimaoni kupitia kwa mashabiki.
Nadharia kubwa inayotawala kwenye vichwa vya mashabiki wa manchester united ni kwamba hatuna midfields mwenye ubora kati ya wale wanaounda pivots (fred, scott, matic, pogba), nadharia hii ni ya uongo na hii ni kwa sababu takribani midfield wote wa manchester united wana viwango bora kama utaangalia takwimu tofauti na inavyozungumzwa, tatizo kubwa lililopo ni kukosekana kwa balance ya tabia (profile) za wachezaji wakiwa ndani ya uwanja kati ya wachezaji waliopo.
kwa sasa benchi la ufundi wanaona tayari timu imejaza box to box midfield hivyo basi kipaombele chao kikubwa ni kutafuta kiungo mwengine mwenye uwezo wa kukaa chini( sits a bit deeper) na pia kulinda safu ya ulinzi kinguvu (physicallity) na kimpira kwa kumiliki (possession) na kusambaza mipira (ball retention) huku pia akiwa na uwezo wa kuvunja uvamizi (pressing) wa timu pinzani.
kwa sasa klabu haihitaji kiungo mwenye uwezo wa kupress high kama ilivyo fred bali wanahitaji kiungo atakayekaa deep na awe na uwezo wa kukaa na mipira (hili ndio tatizo kubwa la fred), tufahamu pia benchi la ufundi hawaangalia pasi za mbele kama ni kipaombele chao katika kumtafuta huyo midfield (progressive pass), kwa wao wanahitaji ball retention na dribbling kama ni indicators nyenginezo za kumtafuta kiungo mwengine.
McFred partnership hutupa balance zaidi tunapocheza hii ni kwa sababu scott anakaa chini na fred anafanya press kwa wapinzani. McPogba partnership haitokupa pressing huku partnership ya pogba na fred haitokuwa na mtu sahihi wa kukaa chini na pia patakuwepo na ukosefu wa ball retention.
mchezaji pekee mwengine mwenye uwezo kukaa chini ni nemanja matic lakini tatizo kubwa alilonalo kwa sasa ni miguu yake haimruhusu kufanya kama yale aliyokwisha yafanya huko nyuma hususani alipokuwa chelsea ndani ya msimu wa 2016.
nemanja aliongoza kwa ball retention, duel, low disruption and recovery haliyakuwa amekaa chini (deep) with fantastic control of the ball, pia alikuwa ni miongoni mwa viungo bora kwa upande wa dribbling. Bila ya shaka hicho ndicho kigezo sahihi cha kulinganisha na midfield wengineo.

Nemanja Matic in his final season at Chelsea (credits: smarterscout)