Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Ni mchezaji ambaye ni proven kwao, hicho kiasi sio kibaya, man U inaonekana kama Timu inayo toa tu sadaka miaka na miaka watu wanajichukulia wachezaji kwa bei rahisi, ila Sasa hivi na sisi tuna watu wa soka, tumekomaa sana msimu huu, wachezaji wengi wameondoka kwa vile tunavyotaka sisi.Shida sio west ham shida ni sisi
Mchezaji ana 29 years na anamaliza mkataba utoe 25 mill
Ah hapana mzee huyo lingard ni mpuuzi akisign mkataba mpya man utd maana sijui anahisi atacheza wapi
Hii itatengeneza heshima kwa timu yetu, na watu watajua hakuna tena wachezaji wa bure, Angalia Chelsea wanavyouza ama Liverpool, wachezaji ambao hata ligi hawajacheza kina Brewster na Solanke wanauzwa hadi 20m, sembuse Lingard ambae ni Epl proven
