Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  1. Victor lindeloff amfundishe Rafael varane kupiga pasi ndefu, sidhani kama kuna pasi ndefu aliopiga ikamfikia mlengwa.
  2. Aliefanikisha ushawishi wa kusajiliwa kwa wan bissaka ndani ya karne hii ya 21 kwa takribani paundi million 55 anapaswa kuchukuliwa hatua, ni rahisi kumfundisha diogo dalot kujilinda kuliko kumfundisha wan bissaka kushambulia, overlapping, kuingia ndani, kupiga krosi n.k
 
Nachotaka kusema ni kwamba mtu akiwa below average na tumekaa nae kwa muda mrefu na analipwa hela ndefu hatupaswi kumfuga eti kisa depth..tunafagia na kuleta vipaji vipya.
Huyu DOF ameni-impress sana ktk kusajili naamini ana mkakati mzuri sana wa kuondoa vilaza pia. Ni swala la muda tu tutasafisha wajinga wajinga wengi sana pale. Cristiano akiwasha moto vichezaji vya hovyo vitakimbia vyenyewe vikiongozwa na Anthony Martial na Daniel James.

Ujio wa Cristiano utamnufaisha sana Mason Greenwood, sawa sawa na mwaka 2003 tulipokuwa na wazoefu Ryan Giggs pamoja Ruud van Nistelrooy alipokuwa kinda. Atacheza pasipo na pressure. Huyu dogo anahitaji mentor mzuri, naiona potential kubwa sana kwake.
 
Mchezaji mzr anaonekana tu mapema haijalishi uzoefu wala nn.
Tutakuja kuongea lugha moja baadae sana. Waingereza sio wachezaji wa kununua wanauzwa ghali mno kuliko uwezo halisi. Wana vipaji kweli ila wanabebeshwa mzigo wa price tag unaokuja na expectations kubwa sana kwa mashabiki kitu ambacho kinawaletea pressure za kufanya vizuri. Tuwe na sera ya kuwapandisha kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.

Huwa napinga wazi wazi usajili wa wachezaji kiingereza kwa ssb huwa wanauzwa bei kubwa sana kuliko wachezaji wa mataifa mengine wenye uwezo ule ule au kuwazidi. Hebu jaribu kufikiria muda tuliokuwa tunamtaka Jack Grealish tuliambiwa tulipe Pound 80M wakati huo huo Bruno alikuwa anapatikana kwa Pound 47M tu.

Niliandika pia kuhusu Pedro Goncalves yupo pale Sporting Lisbon ni kijana wa kireno mwenye miaka 23 amewaongoza Sporting Lisbon kubeba kombe la ligi kuu msimu ulioisha Ureno toka mwaka 2002. Na alikuwa mfungaji bora (23 goals) na mchezaji bora wa ligi pia. Huyu anacheza kama winga wa kushoto, kulia na nyuma ya mshambuliaji wa mwisho. Huyu bei yake ni Pound 51.7M. Just imagine angekuwa muingereza, bei yake inge-double.

Msimu huu ulioanza tayari kacheza mechi 4 kafunga goli 3 za ligi kuu ureno kuelekea international break.
 
Bado hajafukuzwa tu
 
Umenikumbusha mkasa wa arsenal na usajili wa goalkeeper, wamepigwa takribani paundi million 30
 
Bado hajafukuzwa tu

IMG-20210830-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom