Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu si ajabu baada ya miaka 2 tukaanza kumfukuzia Chiesa aje azibe hilo pengo la kulia.....

Mimi naona tujenge kali sana hata hiyo hoja ya sijui namba 7 itakuwa hamna maana tutakuwa tunazibuana madhaifu.....au greenwood azoeshwe tu huo upande maana Sancho bado sana
£75m down the drain?

Ni mapema kujudge,ngoja tuendelee kusubiri..namba zake akiwa BVB sio za kupuuzwa huyu Sancho...Though timu yetu inaonekana kama ina msimamizi tu wa kupasha misuli moto kwa hawa wachezaji.
 
McTominay tunamunderate sana kwenye kikosi chetu.
McTominay anahitaji cover mkuu..hawezi kucheza mwenyewe na let say mtu kama Pogba huku deep,the same applies to Matic..

Fred+McTominay atleast ila sio Mmoja tu acheze na Pogba.

Nadhani tumeona Fred+Pogba,,McTominay+Pogba,Matic+Pogba..timu inakuwa rojorojo kuliko maelezo..

Hiki kiungo chetu bado kitaendelea kutusumbua sana..
 
Mc Tominay tunamunderate sana kwenye kikosi chetu.

Jaribu kuangalia mechi ambazo hayupo uwanjani na akiwepo utaona tofauti kubwa iliyopo.
 
Mkuu posts zako za nyuma ulihitaji sana usajili wa Wan Bissaka na Jadon Sancho iweje umpime kwa mechi moja tu ?

Mimi naamini Sancho hatafikia level ya Bundesliga ila uchezaji wa timu yetu hata Ronaldo tutaanza kumtukana.

Timu yetu haichezi ila inaingia uwanjani kubahatisha kukimbiza mpira tu.

Timu haifanyi pressing na wala haiwezi hata kupiga pass accurate tatu ??????
Mkuu Wan Bissaka bado namkubali wala sijamkataa kwasababu defensively ametusaudia mara nyingi.....

Suala la kutokuwa na uwezo wa kucheza mpira kwa utaratibu ili tupate matokeo linaboa sana.....ni kweli timu yetu haiwezi kupiga pass 6 za uhakika tukiwa eneo la adui bila kupoteza mpira
 
hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.

ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
View attachment 1917303
alafu ajabu anabaki ila anacheza game 8 na 3 anaingia dakika ya 85
 
Huyu kinda tutamkumbuka
PSX_20210831_083301.jpg
 
View attachment 1917313
kurt zouma wamlipie paundi millioni 30 pia wanataka kumsajili tagliafico
eti lingard aliyewafungia magoli 9 tuwape kwa mkopo.
kwa hali hii ni bora lingard abakishwe, yaonekana west ham hawana heshima dhidi yetu
Shida sio west ham shida ni sisi

Mchezaji ana 29 years na anamaliza mkataba utoe 25 mill
Ah hapana mzee huyo lingard ni mpuuzi akisign mkataba mpya man utd maana sijui anahisi atacheza wapi
 
hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.

ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
View attachment 1917303
Waingereza wanauzwa? Ushaona wapi?

Wapo radhi walipwe bure waendelee kukaa benchi.

Angalia phil jones.
 
Back
Top Bottom