Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hizi takataka tumezilea sana, natumai huyu dogo atapata kocha sahihi wa kumtengeneza
View attachment 1916634
"Sasa kama timu yenyewe ni matakataka kwa nini msilee takataka? Unajua takataka haikai sehemu safi au sahihi ..inakaa sehemu za ovyo kama jalalani, chooni, dampo hivyo hii timu ni takataka tosha mkuu. Hata fans wake ni takataka tupu.."

Alisikika mtaalamu mmoja.
 
Dogo mwisho atauzwa sioni kiwango cha kutamba MANUTD
PSX_20210830_183548.jpg
 
Kama sijakosea,hii nnafasi imewekwa makusudi kabisa kwa ajili ya Declan Rice msimu ujao wa 2022/23
hii comment yako aione Joh Doe
both fred na mctominay wamekuwa wakilalamikiwa juu ya upungufu wao wa kusogeza timu mbele kupitia pasi zao, baadae tena unataka kumsajili declan rice.
Mungu atuepushie na hicho kikombe
 
1630341058592.png

marcelo bielsa ameona jambo gani kubwa kwa huyu mchezaji, jibu ni rahisi bielsa anaamini zaidi system kuliko individual performance.
work rate ya daniel james ni kubwa sana pindi anapokuwa uwanjani na ndio maana si ajabu bielsa ameendelea kumpigania tena kwa mara ya pili.

miaka miwili iliopita dili la james lilifeli kwa sababu ya papeworks
picha hii ni miaka miwili iliopita
1630341286071.png
 
hii comment yako aione Joh Doe
both fred na mctominay wamekuwa wakilalamikiwa juu ya upungufu wao wa kusogeza timu mbele kupitia pasi zao, baadae tena unataka kumsajili declan rice.
Mungu atuepushie na hicho kikombe
Kwa kumuweka kama potential untouched signing Kumbe Declan rice ni mzuri kuliko Ndidi na Calvin Philips?
 
Wolves wanacheza jinsi tulivyopaswa kucheza sisi. Wolves hawakabi kwa macho, kitu wanakosa ni umakini kule mbele tu. Pia sisi defensively leo tumeonyesha kiwango kizuri. Varane mzee wa kazi ndiyo kitu tulihitaji.

Fred hakuna kitu anafanya, hafanyi kazi yake ipasavyo dimba la kati.

James ni yuleyule, atapata chance nzuri mara ghafla anakuwa kama hana macho.

Kwa ukosefu wa Scott ni heri Ole angeanza na VDB badala ya Pogba, Sancho kulia na Martial kushoto.

Kwasasa Cavani aingie, James atoke.
Probably Fred amechoka sana na Copa America misimu miwili iliyopita hakuwa hovyo namna hii nachokiona sasa hivi hayuko form kabisa na kibaya zaidi partnership yake na Paul Pogba haijawahi kuzaa matunda
 
Back
Top Bottom