Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa kauchukulia huu usajili kwa jicho la wepesi sana. Tumejaza wachezaji average sana. Marcus Rashford ana umri wa miaka 23 na Anthony Martial ana miaka 25 ila hawajawahi kufunga goli zaidi ya 20 za EPL japokuwa wamecheza zaidi ya misimu mitano kila mmoja kama regular starters.

Mchezaji kama Jamie Vardy pale Leicester City anafunga goli zaidi ya 20 EPL kwa misimu mitatu na mmoja wao aliwaongoza kubeba EPL sisi tumejaza vichezaji vipo misimu karibu saba havijawahi kufunga hata goli zaidi ya 20. Tumechoka kuvumilia vichezaji vya hovyo.
Hao madogo ndo mwisho wa uwezo wao.

Na kocha ndo kabisa uwezo wake umefika mwisho.
 
Ole kwa sasa na msimu huu hana kisingizio chochote kile cha kutokubeba hata carabao yani hana asituletee mambo ya boys mara build wala nini.
Timu iko vizuri ni kiasi cha kuchanga karata zake vyema tu watu tunao wengi tu msimu huu mpaka january hamna dalili za kubeba hata la Mbuzi wamuondoe tu hana tena kisingizio.
 
taarifa zinadai brighton na leicester wapo tayari kutoa mpaka paundi millioni 20 hadi 25 kwa ajili ya james lakini klabu imegoma, sababu ni moja tu klabu bado ina imani daniel james anayo potential ya kuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi japokuwa mimi siioni dalili hiyo.

sasa hapo ndipo tunapofeli, kwani tukimuondoa daniel james asiyekuwa na nafasi ndani ya kikosi cha kwanza huku nafasi yake ukimpa amad au elanga utapoteza kitu gani?
liverpool wamemuondoa grujic ambaye kila mshabiki wa liverpool anamsifia, kama tuna khofu ya kiwango chake klabu inaweza kuweka kipengele cha buyout clause kama wafanyavyo real madrid

tunapenda kujipa imani isiyokuwepo kwa kuwalea wachezaji wasioonyesha potentials ya kuwa bora kwa muda mrefu
  1. ondoa brandon na mapema then mpandishe yule fundi wa kihispania
  2. ondoa tuanzebe na mapema then mbakishe taden mengi
  3. perreira na jones hawakustahili mkataba mpya na wa gharama
  4. pellistri bado ni kijana, kama ataonyesha kiwango kizuri tunaweza kumrudisha au kumuuza huko hispania
Yani man utd
Gonjwa kubwa sana hilo la kung'ang'ania wachezaji hovyo

Huyo DJ hana kitu kabisa lakini watu wanaogopa kumuuza sijui ole anataka nini yule mzee

Sema nimependa ronaldo alivokuja ...the guy is competitive na sidhani ole ataanza kuleta pigo za cr7 kukaa nje na martial aanze ...he may be a blessing in disguise

Cr7 wampe ucaptain tu sasa na obviously sidhani mtu kama yeye atakubali awekewe kikosi cha kipumbavu na ni mtu aliye na tamaa na mafanikio

So welcome cr7, Good riddance martial 9 aozeee benchi auzwe hell i dont care....
 
Nimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.

Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.
 
Cr7 hatotumika inavyotakiwa kwa sababu kocha ni mbovu!
 
Back
Top Bottom