Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.

Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.

Kwnn hamna kocha mkuu? Yule anae waongoza ni nani?
 
Cr7 hatotumika inavyotakiwa kwa sababu kocha ni mbovu!
Eh mzee we tulia uone
Kama una namba ya ole mpigie kabisa mwambie CR7 ndo anguko lake man utd

Mchezaji quality kama yule akija klabuni kwako afu ni mtu ambaye ameprove anaweza kucheza kokote na kuleta mafanikio ndugu yangu kama wewe ni kocha ni jambo jema kama una mbinu na baya kama huna mbinu

Pochettino sahivi UEFA kila mtu anaona ni mali yake lakini watu wote hawajaangalia hata mechi moja ya wachezaji wote waliosajiliwa wakicheza pamoja ili kuona timu ikoje. we unahisi kwanini?? Katika mpira wachezaji wazuri waliokuwa na consistency mara nyingi wakienda club mpya mashabiki wanakua na mategemeo ambayo walikiwisha yaona hapo mwanzo kwa hao wachezaji kutoka former clubs

Sasa hivi kila mtu anagoja ronaldo atafanya nn pale na akishindwa kuscore lawama lazima zitaenda kwa ole tu..watu watatumia past experience kumjudge huyo coach na obviously ronaldo na ole man utd mkubwa ronaldo nmetype sana ila cha msingi ni hichi CR7 hataondoka man utd isipoleta mafanikio kabla ya ole sendeka kuondoka

Ole we are waiting for your move, eh aondoke tupumue sasa maana yule jamaa sijawahi kuchukia kocha kama yeye nlivomchukia

Mnaweza shangaa kesho namba tisa akakaa martial tena
Na nne phil jones afu namba kumi akamweka lingard

Sijui wanamfataga ofisini kulalamika mpaka anawaweka mm sijui kwa kweli
 
Nimeanza kuangalia mechi ya liverpool na chelses leo kuanzia dak ya 28.
Mechi ya chelsea na man city (final UEFA) niliangalia yote.
Niliangalia mechi ya man city na leistercity yote
Nimeangalia mechi zote mbili za man utd.

Kwa kifupi ni kwamba timu yetu man utd hatuna kocha.
Hahahah
 
Mabek wa timu pinzani hawatapanda kizembe

Sancho
Cavan
Rashford
Pogba
Bruno
Ronaldo

Unajitaka kweli???
Ukiwavhezesha wote kwa pamoja lazima timu iyumbe.

Sancho Ronaldo. Pogba na Bruno...,,..........Sancho,Cavani Pogba Bruno.

Cavani na Ronaldo hawawez kuwa na speed wakiwekwa pamoja..labda wakicheza bonanza..mkishampiga mtu 10 mnaweza waweka Hawa jamaa mbele kule
 
20210829_083649.jpg
20210829_083649.jpg
 
Eh mzee we tulia uone
Kama una namba ya ole mpigie kabisa mwambie CR7 ndo anguko lake man utd

Mchezaji quality kama yule akija klabuni kwako afu ni mtu ambaye ameprove anaweza kucheza kokote na kuleta mafanikio ndugu yangu kama wewe ni kocha ni jambo jema kama una mbinu na baya kama huna mbinu

Pochettino sahivi UEFA kila mtu anaona ni mali yake lakini watu wote hawajaangalia hata mechi moja ya wachezaji wote waliosajiliwa wakicheza pamoja ili kuona timu ikoje. we unahisi kwanini?? Katika mpira wachezaji wazuri waliokuwa na consistency mara nyingi wakienda club mpya mashabiki wanakua na mategemeo ambayo walikiwisha yaona hapo mwanzo kwa hao wachezaji kutoka former clubs

Sasa hivi kila mtu anagoja ronaldo atafanya nn pale na akishindwa kuscore lawama lazima zitaenda kwa ole tu..watu watatumia past experience kumjudge huyo coach na obviously ronaldo na ole man utd mkubwa ronaldo nmetype sana ila cha msingi ni hichi CR7 hataondoka man utd isipoleta mafanikio kabla ya ole sendeka kuondoka

Ole we are waiting for your move, eh aondoke tupumue sasa maana yule jamaa sijawahi kuchukia kocha kama yeye nlivomchukia

Mnaweza shangaa kesho namba tisa akakaa martial tena
Na nne phil jones afu namba kumi akamweka lingard

Sijui wanamfataga ofisini kulalamika mpaka anawaweka mm sijui kwa kweli
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom