Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Wolves come on ....
Mkuu nimecheka sana ulivyomaliza hapo kuwa "mimi siju kwakweli" hahaahaha Ole anakazi sana msimu huu.....rebuild miaka 5 na mastaa juu sijui atajitetea nini safari hii.....Eh mzee we tulia uone
Kama una namba ya ole mpigie kabisa mwambie CR7 ndo anguko lake man utd
Mchezaji quality kama yule akija klabuni kwako afu ni mtu ambaye ameprove anaweza kucheza kokote na kuleta mafanikio ndugu yangu kama wewe ni kocha ni jambo jema kama una mbinu na baya kama huna mbinu
Pochettino sahivi UEFA kila mtu anaona ni mali yake lakini watu wote hawajaangalia hata mechi moja ya wachezaji wote waliosajiliwa wakicheza pamoja ili kuona timu ikoje. we unahisi kwanini?? Katika mpira wachezaji wazuri waliokuwa na consistency mara nyingi wakienda club mpya mashabiki wanakua na mategemeo ambayo walikiwisha yaona hapo mwanzo kwa hao wachezaji kutoka former clubs
Sasa hivi kila mtu anagoja ronaldo atafanya nn pale na akishindwa kuscore lawama lazima zitaenda kwa ole tu..watu watatumia past experience kumjudge huyo coach na obviously ronaldo na ole man utd mkubwa ronaldo nmetype sana ila cha msingi ni hichi CR7 hataondoka man utd isipoleta mafanikio kabla ya ole sendeka kuondoka
Ole we are waiting for your move, eh aondoke tupumue sasa maana yule jamaa sijawahi kuchukia kocha kama yeye nlivomchukia
Mnaweza shangaa kesho namba tisa akakaa martial tena
Na nne phil jones afu namba kumi akamweka lingard
Sijui wanamfataga ofisini kulalamika mpaka anawaweka mm sijui kwa kweli
Hawataweza kwa sababu hana mbinu zozote , ni empty headedMkuu nimecheka sana ulivyomaliza hapo kuwa "mimi siju kwakweli" hahaahaha Ole anakazi sana msimu huu.....rebuild miaka 5 na mastaa juu sijui atajitetea nini safari hii.....
Bruno, Ronaldo, pogba, maguire, varane, Rashford kwamba hawawezi kutuoa hata carabao?
instagram ni 12,431, 833 likes.....alafu huko twitter mpaka jana ni amefanya kuzidi tweet ya Messi....Mara tatu ya retweet, mara 2 zaid ya likes na mara 4 zaid ya response......Leo ziko ngapi. Au zimestack
Kwa iyo hizo like ndio zinaenda kucheza uwanjan Leo na wolves ??instagram ni 12,431, 833 likes.....alafu huko twitter mpaka jana ni amefanya kuzidi tweet ya Messi....Mara tatu ya retweet, mara 2 zaid ya likes na mara 4 zaid ya response......
samahani kama nimekukwaza.
Unajua nguvu ya momentum na motivation kwa wachezaji?Kwa iyo hizo like ndio zinaenda kucheza uwanjan Leo na wolves ??
Fans wa united ni zero brain kabisa
Acha kuwa kilaza ,martial ,magwaya ,Fred ,rashford ni wale wale ,hata ashuke malaika toka mbinguni ....Unajua nguvu ya momentum na motivation kwa wachezaji?
haujui hata vitu vidogo kama mapokezi ya cristiano ronaldo mitandaoni, yanaeffect kubwa kwa wachezaji wetu.....
sasa kama ni walewale wewe inakuumiza nini mzee....kocha wako mwenyewe amekili nyinyi ni timu ndogo jana kushindana na sisi ila wewe unashupaza shingoAcha kuwa kilaza ,martial ,magwaya ,Fred ,rashford ni wale wale ,hata ashuke malaika toka mbinguni ....
Unakaaa yani unajiuliza unakosa jibuMkuu nimecheka sana ulivyomaliza hapo kuwa "mimi siju kwakweli" hahaahaha Ole anakazi sana msimu huu.....rebuild miaka 5 na mastaa juu sijui atajitetea nini safari hii.....
Bruno, Ronaldo, pogba, maguire, varane, Rashford kwamba hawawezi kutuoa hata carabao?
Mara paap anajikuta kawaonyeshea mechi bureMatchday GGMUView attachment 1914257
Yan Ronaldo ashindwe kuscore we jamaa acha utani yule mtu anafunga kwa miguu yote anaruka juu kimo cha Peter croch.Sasa hivi kila mtu anagoja ronaldo atafanya nn pale na akishindwa kuscore lawama lazima zitaenda kwa ole tu..
Hahahaha hapo anazingua tu nadhani Kama akipigwa man mpira ukikaribia mwishoni unakuta muhudumu haonekaniMara paap anajikuta kawaonyeshea mechi bure

Huwezi linganisha the champion of England na takataka inayoelekea kushuka darajan kama arsenal ,miaka zaidi ya kumi haijacheza CL hata ndotoni ,na wala hawategemei labda baada ya miaka 10 ijayoo huko ...We utakuwa teja, siyo mtu wa mpira. Mashabiki wa mpira hawasumbuliwi na tambo za kishabiki
And win zero trophy this seasonRecord breaker ALWAYS..
.TIME TO BRING EPL BACK HOMEView attachment 1914981
