fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,205
Hili swali la kwanini hatuuzi wachezaji umewahi kuuliza mara mbili humu jukwaani na majibu ya wengi kama yalivyo yangu ni over rated english players pamoja na aina ya mishahara wanayolipwa waki renew mikataba yao pale united.timu yetu haiheshimiwi tena na vilabu vyengine ndio maana si ajabu tunateseka kwenye biashara ya kuuza na kununua mchezaji.
west ham wanaelekea kukamilisha usajili wa paundi millioni 25 kwa kurt zouma, kiupande wa pili wanaweka ngumu kulipa paundi millioni 25 kwa jesse lingard
Au mkuu umeishapata majibu tofauti na hayo?